alunashadya
Member
- Aug 15, 2014
- 57
- 10
Wadau JF,
Napenda kujua, hivi mtumishi anapostaafu itachukua muda gani kulipwa mafao? Nina mama yangu alistaafu tangu Machi 31. Hadi leo anahangaikia malipo bila mafanikio, wanampiga kalenda sana, haelewi, wakati ile ni haki yake kisheria.
Hebu wenye uzoefu naombeni mawazo.