PSPF kulikoni mbona kimya

PSPF kulikoni mbona kimya

Big One

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2011
Posts
759
Reaction score
47
Ni takribani wiki ya 3 sasa tunaenda toka interview ifanyike pale DUCE kwa mwenye taarifa atujuze msaada please!
 
mbona watu washaaitwa waende kuripoti kazini kuanzia tar 01/07/3013.
 
jamani hao PSPF ni waongo mie hata siku aplly nikashangaa mtu
ananipigia sim anataka anisaidie nipate kazi pale......,
kija kumdodosa ni muongo ile mbaya nashangaa hata mawasiliano
yangu alipata wapi
 
mbona watu washaaitwa waende kuripoti kazini kuanzia tar 01/07/3013.

Haya ndio majibu rahisi. Hivi ukipita kwenye aptitude unaitwa kazini au unaitwa for next interview ambayo mara nyingi ni oral?
Kwa aliyeuliza nakuomba uwe na subira wala usikate tamaa, riziki yako km ipo ipo tu
 
Mkuu hizo kupata ni ndoto kuna watoto wa katibu mkuu wa3 familia Moja wanafanya tempo, watoto wa mawaziri 4... nao wapo tempo...memo sasa kutoka kwa viongozi wastaafu ni nyingi ndugu jamaa na marafiki yaani ni kimbembe....tafuta kwingine rafiki...
 
hahahaha...hatariiiiii....ila kumbuka kuwa kuna MUNGU pia...
 
Back
Top Bottom