PSPF huu ni sawa na utapeli

Na hapo ndio wanataka uwe mfuko pekee, hakika tutakoma!!!
 
Kuna mjomba wangu amestaafu 2013 kapata pensheni yake 2016 mwezi wa nne PSPF sio mfuko wa kujiunga ni afadhali ya GEPF japo nao wanamapungufu
magu awafute tu
 
Kuna mjomba wangu amestaafu 2013 kapata pensheni yake 2016 mwezi wa nne PSPF sio mfuko wa kujiunga ni afadhali ya GEPF japo nao wanamapungufu
magu awafute tu

Pspf ni jipu kwa ufupi hawana helaaa za kulipaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…