Pspf Aptitude test:What to expect?

Pspf Aptitude test:What to expect?

Wewe watu washapata hizo kaz tayari unajidanganya na aptitude!nenda kasindikize wenzio tu!hizo paper hata usifikiri kama zitasahihishwa!!ni kucomply tu mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Nilisikia kuwa PSPF inafilisika, sasa hao watu wanaotaka kuwaajiri watawalipa nini?
 
Hata wafilisike vp hela ya kulipana hawatakosa

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Wewe watu washapata hizo kaz tayari unajidanganya na aptitude!nenda kasindikize wenzio tu!hizo paper hata usifikiri kama zitasahihishwa!!ni kucomply tu mkuu

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ndio maana huwa mnafeli mitihani,,,unajibu kitu ambacho hujaulizwa,,,sasa hapo umejibu nini kama siyo maandazi tu,,,hebu jaribu kuwa mzalendo vinginevo kaa kimya kama huna cha maana!!!
 
Makavu LIVE!
 
hao jamaaa test yao ni maswali 50 kwa dk50. ni maswali simple sana tena multiple choice. hata mtu wa primary school anaweza kuyangoa. sema tu sasa ni jinsi ya kuchaguliwa.nakumbuka mwaka juz tulifanya pale DUCE zaidi ya watu 1300 na tukawa shortlisted watu 98 kwa ajili ya oral.............hapo ndo safari yangu ilipoishia. cha msingi jua current issues za kisiasa, geography nk. pia jipange siku ya paper........sikushauri ila jenga mtandao. mtihani ni vita. ukishindwa piga chabo mahala....... siyo mbaya kupata dhambi ya siku moja. jaza fasta yale unayoyaweza then come slowly kwa yale usiyoyaweza..........and lastly muombe mungu manake kila jambo analijua yeye. all the best
 
Nice advice.kingine hata kama izo nafasi zina watu wake ila lazima kuna nafasi zitabaki za watakao faulu direct kwenye izo paper zao alf nyie wenye negative thoughts ndo mnao shinda kulalamika majumbani mwenu kwehu hampewi kazi wakati mmelala hata kazi hamuombi..back to the topic tupitie na baraza la mawaziri na any other financial matters patterning our country right now
 
Daah well said,,,
 
hao jamaaa test yao ni maswali 50 kwa dk50. ni maswali simple sana tena multiple choice. hata mtu wa primary school anaweza kuyangoa. sema tu sasa ni jinsi ya kuchaguliwa.nakumbuka mwaka juz tulifanya pale DUCE zaidi ya watu 1300 na tukawa shortlisted watu 98 kwa ajili ya oral.............hapo ndo safari yangu ilipoishia. cha msingi jua current issues za kisiasa, geography nk. pia jipange siku ya paper........sikushauri ila jenga mtandao. mtihani ni vita. ukishindwa piga chabo mahala....... siyo mbaya kupata dhambi ya siku moja. jaza fasta yale unayoyaweza then come slowly kwa yale usiyoyaweza..........and lastly muombe mungu manake kila jambo analijua yeye. all the best

Yeah umenena asee...
 
mwaka uliofanya exam mlikua 1300,finance officer ni kama 2500 this time na shortlist i just heard hawakatizi mia for oral.............samahan lakini how much wanalipa just to validate the hustle.........?please anyone??unrealiable sources ni 1.5.......ili niupange mtandao na kijiji apo duce kabisa cha chabo
 
Exactly what you say, kila cku mtu analalamika kuwa kazi hakuna, zikitolewa ooh zinawenyewe, sasa kama unaona zinawenyewe tafuta basi ambazo hazina wenyewe tuone. Tuachen fikra potofu
 
Fikra potofu kitu gani?heshimu mawazi ya mwenzako ndo maana anakichwa chake alaaa!!
 
niko njian nimeanza safari toka manyara kwenda dar kufanya HIYO PEPAR-finance officer MUNGU SIKILIZA KILIO CHANGU MAANA MWAKA WA 3 napambana na ugumu wa maisha unajua wewe mwenyewe hii NAULI nilivopata.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom