PSPA kufanya Field

Ofisi ya ccm lumumba

Ofisi ya chadema ufipa

Ofisi ya act

Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama

Ofisi ya msajili wa vyama

Ofisi ya Bunge

Ofisi ya wizara ga utawala bora

Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati

Kazi kwako
 
Ofisi ya ccm lumumba

Ofisi ya chadema ufipa

Ofisi ya act

Ofisi ya TLP jogoo hausi usalama

Ofisi ya msajili wa vyama

Ofisi ya Bunge

Ofisi ya wizara ga utawala bora

Ofisi yoyote ya NGO za kiuhanaharakati

Kazi kwako

Ofisi ya Bunge
 
Ukienda office za ukawa unapata experience, ukienda office ccm unapata marks za bure chagua wewe.
 
Ni maeneo(idara) yapi mazuri mtu aliesoma PSPA anaweza kufanya mafunzo kwa vitendo(Field)
Nenda halmashauri utafanya field idara ya utawala na rasilimali watu au nenda ofisi ya DC utafanya kazi kwa DAS au kwa Afisa Tawala na utajifunza vema majukumu ya kiutawala na rasilimali watu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom