Pse help - mnada wa magari tra. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Pse help - mnada wa magari tra.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Tsidekenu, Jun 3, 2011.

 1. T

  Tsidekenu Senior Member

  #1
  Jun 3, 2011
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 141
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Bandugu,

  naomba kama kuna alieona tangazo la tra la mnada wa magari lilotoka kati ya wiki hii au wiki iliyopita anijuze mnada huo utakuwa tarehe ngapi na ni wapi na wapi utafanyika.

  senkyuu
   
Loading...