Wananunua Account za wizi online ama hata inaweza isiwe cracked ila ni shared. unawekewa kwenye machine yako, wana download zile games ambazo zipo kwenye Account, then unaenda offline ama unaweza ukakaa online na kuomba Mungu usidakwe.
Kama una hela kidogo mara Mia utafute magumashi tu ya kupata ps+ account ambayo ni deluxe unapata games nyingi bure. Kuna watu wanakucharge hela nyingi kidogo ila unatumia email yako mwenyewe.