ps3 inahitajika

ps3 inahitajika

kay 18

Senior Member
Joined
Jul 25, 2012
Posts
148
Reaction score
24
wana jamvi natafuta ps3 kwa yeyote alie tayari kufanya biashara na mimi anitafute kwenye namba 0718-733627 tufanye biashara

ahsanteni sana
 
mkuu ndo maana nikaweka no ya simu,just nibeep 2tuzungumze biashara,or kama kwenye cm haiwezekani nipe bei yako hapa nikujibu

Kaka ingia inauzwa.com zipo nyingi kule bei laki 5..achana na huyu anakuzingua
 
Unataka Slim au mtulinga??


Sent from my EyePhone
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom