ps2 inauzwa...padi mbili,na game moja 200,000tsh....bei tunaongea..codition yake ni nzuri sana
ina game ya pro evolution soccer
na memory card yake.....
+255 756 412 337
Mwisho laki na nusu kaka.nahitaj lakin mfukoni kuna laki vp cpati@viking
Kama una uza bidtha zako....Mbona uwanzisha post yako mwenyewe....acha kudandia cha mwnzako.nauza yangu ps2 pad 2 moja ina matatizo game 12 kwa ts 220000