illuh
JF-Expert Member
- Mar 17, 2014
- 1,254
- 700
Tuko kwaajili ya kuelimishana mawazo ya wengi ni mazuri
Mimi hili jambo lanitatiza hasaa.
Hivi huyu boss kusema PS wake anamtega na baadhi ya watu kucomment amfukuze, wengine amwambie, mwengine amgonge tuu
Kwa mimi upeo wangu mdogo ni kwamba:
Huyu PS nae ana nafsi inayomtuma kupenda, anaweza kumpenda bos wake kama mwingine anavyopenda wanaume wengine huko nje Pengine boss wake ni mtanashati, sura nzuri, umbo zuri, tabia akatokea kumpenda..
Mbona wapo mabos ambao wanapenda PS wao vile vile? Mbona wapo Wafanya kazi kwa wafanyakazi wanaopendana katika ofisi moja vile vile? Mbona wapo watu waliooana na wanafanya kazi katika ofisi moja vile vile hata Serikalini au Kampuni binafsi?
Me nnachokiona hapo ni kuwekeana heshima. Kama boss umeamua kumpenda PS wako basi weka heshima, mapenzi nje ya ofisi, ofisini ni kazi. Km ofisi moja kuna mume na mke heshima ya ofisi ibaki pale pale.
Me naimani hiyo kuharibu kazi ni wewe mwenyewe udhaifu wako Wewe boss, au wewe mfanyakazi kwani ukitoka kazini unamuda tooosha wa wewe kuvinjari na huyo umpendae.
Mfano: Bill Clinton alipendana na Secretary wake.
Hii ni ubaguzi Ndio ile ninayoifananisha na kumnyima House girl asipendane na Boss wake wakati naye pia anahaki ya kupenda ..
Mtu akikupenda si lazima umkubalie kama humpendi Unakauli, wewe kama boss kama humfill PS wako mwambie huo ni upendo Wewe PS kama humfill boss wako akikutongoza mwambie no. Kama unampenda mwambie YES ila muwe na conditions zitakazo linda kazi..
Upendo unachanua popotee.. Kama hujaoa au kuolewa pengine huyo ndie atakaekuja kuwa wako nap engine ndiye atakayeweza kukufaa na anaheshima kuliko Na akaweza kukushauri kikazi zaidi Km upo single say yes your PS
Tubadilike