atakaeweza kujailbreak ps 3 yangu,kunielekeza jinsi gani ya kucheza downloaded games step by step au wapi naweza kupata cd za bei rahisi a.k.a za kuchakachua tafadhali naomba anisaidie niko tayari kulipia huduma,ps 3 yangu ni 3.7 cfw fat(not slim),naomba kuwasilisha