Ps 2 used zinahitajika haraka sana dar

Ps 2 used zinahitajika haraka sana dar

frnk

Senior Member
Joined
Jun 19, 2012
Posts
160
Reaction score
12
Habarini wadau, nahitaji Playstation 2 zilizotumika na anauza, ziwe katika hali nzuri na ziwe complete kabisa,nahitaji kama 5...
ofa ya mwanzo ni 140,000 kwa kila moja..mwenye nazo tuwasiliane 0719 075175 niko dar.
 
Alienazo anaweza nichek moja kwa moja kwenye no.yangu kwa kuni sms. Ahsanteni
 
Ninayo moja with 3 pads moja wireless timote,memory card 170 nakupa na 3 cds
 
Habarini wadau, nahitaji Playstation 2 zilizotumika na anauza, ziwe katika hali nzuri na ziwe complete kabisa,nahitaji kama 5...
ofa ya mwanzo ni 140,000 kwa kila moja..mwenye nazo tuwasiliane 0719 075175 niko dar.

Me ninazo kama 30 hvi pamoja na pad zake zitafika huko mwisho wa mwezi ni used from uk ziko ktk hali nzuri sana, na pia ninazo game zake kama 130 hvi nazo nitauza peke yake, kama vipi nisuribir kidogo namba yangu ya cm ni 0719-808849 ni twangie nijue tutafanyaje, lkn bei yangu ni 150,000 kwa kila moja
 
Back
Top Bottom