Prox sio hazisababishi wewe ukose huduma ya internet isipokuwa unatakiwa ujaze sehemu ya jina na kwa kuandika vodacom wap.alafu APN andika internet tu. Ukijaza mengine ilo litakuwa tatizo lingine kama lain yako haijawahi kufungua interneti wasiliana na vodacom