Mtazamaji
JF-Expert Member
- Feb 29, 2008
- 5,937
- 1,445
Hi kama kawa naleta mjadla huu huku tayari nikiwa nimeshapitia kwa bwana googlle na bing.
Lengo si kujua proxy ni nini au kazi zake lakini sio mbaya kwa faida atayependa atoe maelezo
Hoja ya msingi kwangu zaidi ina kwenda kwenye Proxy server . Hapa Tunapeana na tunapewa adress za proxy server( Ip dresss😛ort) kutusadia katika kubypass mambo mbalimbali tehteh teh teh .Sasa je.
Baada ya hapo labda tutakuja kwenye swali gumu . Ni jinsi au kitu ganiauset up gani wajanja wanaweza kufanya proxy server zao ziweze kubypass billing system za data/internet plan
karibuni wanatekniki

- anajua nini kuhuus proxy?
- Ziko proxy za aina ngapi
- Zinafanyaje kazi
- Faida na hasasa zake.
Hoja ya msingi kwangu zaidi ina kwenda kwenye Proxy server . Hapa Tunapeana na tunapewa adress za proxy server( Ip dresss😛ort) kutusadia katika kubypass mambo mbalimbali tehteh teh teh .Sasa je.
- Inawezekana mtu kutengenza cofigration Proxy server yako? Kuliko kutegemmea za wengine
- Je unahitaji nini mtu uifanye PC/laptop yako iwe proxy server ?