If you are not willing to help just shut up
You are in no position to shut up anybody in here, least of all the punditry of the Bluray
You wouldn't know politics if it stared you in the face. there oughta be laws against you doing business.
Nadhani unajua high costs za bandwidth nchini mwetu.
Pale mediocres wanapoona tatizo, the bold see an opportunity
hii imefanya cafe nyingi zinshindwe biashara.
Kwa sababu wabongo tumezoea biashara za kuigana, mmoja akiwa na bar wote wanafungua bar, mwingine akifungua cafe, wote wanafungua cafe, hamna inventiveness, hamna innovation, hamna tofauti katika business plan.
Hapa unapoona tatizo la high cost of bandwidth mwingine ataona opportunity ya a niche of internet users, au atafanya lobbying na cafes nyingine kupata a special plan from ISPs, badala ya kuliconfront tatizo au kuona kama challenge ya kibiashara, unataka kufunga mlango.
Now i have a client ambaye namhudumia kama consultant
Consultant ambaye hajui ku google?
kumpa ushauri afanye nini
unampa ushauri wakati wewe mwenyewe unahitaji ushauri?
ili aweze ku survive.Iam looking this at business point of view.
"Looking this at business point of view" for real Mr. Consultant?
Unarestrict baadhi ya computer ambazo zinakuwa for simple surfing ambayo bei yake inakuwa rahisi.
hata kujieleza shida
ila pc ambayo itruhusiwa kudownload bei ni tofauti. Hii ni free market kusema kwamba ni illegal nakuwa sikuelewi.
Unaijua free market wewe? Freemarket haina restrictions kama hizo unazotaka kuweka wewe, hela yako tu.
kama ukiona mimi nafanya restriction ya files nenda kwa mtu mwingine ndo utandawazi.
Free market is a two edged sword, ina uphold mteja ni mfalme, wewe unataka kumnyanyasa mteja na kumwambia "kama hutaki substandard service yangu nenda kwingine". Watu kama nyie ndio mnaosema "dala dala si ndoo ya maji, haiwezi kujaa, kama unaona unabanwa nenda kapande teksi".Ukiamua kuingia katika biashara unatoa service fair,
Mi nakuwa charrged per mb sasa wewe nakutoza per hout tsh 1000. halafu unaenda kudonwload mafile makubwa. pia kuna ishu ya traffic utafanya service quality iwe poor.
Apparently wewe hujaona somo zima la biashara nililokupa hapo juu, basically unailaani neema.Ni kama yule mtu aliyefungua biashara yenye capacity ya watu 100 analalamika kwa sababu wanakuja watu 1000.Hizi ni challenges za biashara, inabidi watu wajifunze kuwa inventive, unaweza ku charge per MB, ku lobby ISPs wakupe special plan, au hata kufanya hili swala liwe la advocacy.
Biashara zina wenyewe, na wengine kama nature yetu ni kupokea mshahara si lazima kila mtu awe mfanyabiashara.