mnatuchanganya sana wakuu
wengine twajifunza hapa na kupata faida mbalimbali.
huu uzi mpaka sasa sielewi kilichoandikwa kinafanya kazi au la
naona wengine wanakandia kwamba hii kitu haifanyi tena kazi.Naomba niwekwe wazi huu uzi unapiga mzingo haupigi.
Na kama unapiga mzigo tusaidiwe namna ya kupata hizo Proxifier na java na namna kuinstall.
Tambo za kitaaluma zinatukosesha wengine kujua mambo.Nadhani nimeeleweka