Proxifier kwa wale wazee wa vichaka

SPYMATE

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2013
Posts
2,351
Reaction score
2,365
1. Kwanza kabisa Install Java then unainstall Proxifier na kuiregister.
UKISHAINSTALL proxifier nenda Profile ---- Advanced then click HTTP proxy server kama nilivyoonyesha kwenye image hapo chini:-




2.Itatokea kama hivi:-


Wewe tick kwenye hicho kibox kuenable HTTP proxy server support then click OK

3.Click tena profile ila safari hii shuka hadi proxy servers na uclick hapo itatokea POp up kama hivi



... Eka proxy address, port alafu tick HTTP (nilipozungushia Mduara) mwisho kabisa bonyeza OK
Hapo utakamua proxy kwa browser yoyote bila ya kuset tena Hata Idm uhitaji kuiseti
 

Kwa usafiri upi, basi la kijani ama lekundu?
 

Mkuu una serials za Proxifier v3.21
 
I prefer to set it manually in the browser and/or idm whenever i need to!
 
Mkuu una serials za Proxifier v3.21
chagua yoyote kati ya hizi tatu....
5EZ8G-C3WL5-B56YG-SCXM9-6QZAP
G3ZC7-7YGPY-FZD3A-FMNF9-ENTJB
YTZGN-FYT53-J253L-ZQZS4-YLBN9
 
Paje naona unataka kuvunja miundo mbinu baada ya kuona Guru yako imedoda. Poa lakini si ungeitoa chini ya kapeti?
 
No sio wivu bali nikujulishana tu hivyo sio vibaya kukumbusha mara ya mwisho tuliangukia wapi.

sio wivu bali nn?unajikumbusha ili iweje?na mbona una2mia maneno ya dharau kama KUDORORA?

Edit 2 post yako na uache maudhi.....wenye hela bado wanakamua we ndala 2 naendelea kujikumbusha 2

historically si ajabu ujawai hata ku2mia hii ki2
 
Njunwa hii sio vita kwamaana sukari guru au proxifier zote ni penyo tu, daraja livunjika kila mtu atatumia nauli halisi.
 
Paje naona unataka kuvunja miundo mbinu baada ya kuona Guru yako imedoda. Poa lakini si ungeitoa chini ya kapeti?

unakusudia hizo serial namba zitolewe kwa siri? zina mahusiano gani na miundo mbinu?? unashauri nizifute???
hizo ni serial tu usiwe pocho kama vile serial za antivirus au office na n.k
 
sio wivu bali nn?unajikumbusha ili iweje?na mbona una2mia maneno ya dharau kama KUDORORA?

Edit 2 post yako na uache maudhi.....wenye hela bado wanakamua we ndala 2 naendelea kujikumbusha 2

historically si ajabu ujawai hata ku2mia hii ki2

Anazani kuna kitu chabure dunia hii, watu wanakamua g ur u hadi raha.

Sent from my GT-S7562 using Tapatalk 2
 

Njiwa tatizo lako ni kukurupuka tu mangapi humu JF ni copy n' paste?
Kina Mzizimkavu, Chief-mkwawa na wengineo baadhi ya mada wanazopost huwa siyo Idea zao bali wanatoa kwenye Forums za wenzetu wa mbele ila yangu ndiyo imekuwa nongwa?
Kwa taarifa yako hizo image ni zangu mwenyewe na hiyo blog unayosema wala haipo nilishofanya ni kucreate kule then kuchukua link za image na kuweka humu baada ya kuona upload ya JF inazingua
 

Hapo kwenye red....umenichekesha.... walisoma HTML na BLOGGER watusaidie kama hicho ki2 kipo....AU kwanza ume hack hiyo BLOG uka ADMINISTRATOR...tupe link ya BLOG YAKO HIYO

Sisemi kuwa COPY N' PASTE ni mbaya ila tatizo hili hapa chini kwa red

 
Naweza pata msaada wa kuelewa zaizi hizi soft mbili java na proxifier na jinsi yakutumia!
 
Naweza pata msaada wa kuelewa zaizi hizi soft mbili java na proxifier na jinsi yakutumia!
hakuna cha maana hapo kaka! utasumbuka tu JF tumetupa siku nyingi sana kitu madude hayo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…