Proved: Halima Mdee alinena


We Paracetamol, Mbowe amechauliwa kwa kura za wananchi. Mbatia ni kilaza mmojawapo> Halima alisema kweli wakati wa campaign
 
Makatibu wakuu wa CHADEMA na NCCR MAGEUZI walikwisha suluhisha hili jambo, sasa kwa nini mnaendeleza hoja mfu?
 
Kwa hiyo huyu Mbatia pale bungeni atakuwa mbunge wa CCM?, au NCCRCCM?, au viti maalum?. Ni dhahiri huyu ni pandikizi hivyo wapinzani pale bungeni wamuogope kama ukoma.
 
Kwa hiyo Rais wetu amekubali rasmi hoja David Cameron, tumekwisha.
 
Mtoto Sio Riziki by Solo Thang
he,he,heeeeee,,achen utani,,,halima mdee si mpare jamaa ni mtani wake nayie msio watani ina maana mnasema ukeli,,mara chakula,,oop jamaa punga,,,,ooomara si riziki mara anang'atishwa godoro,,,mara ni strategies za kiuchumi tuendelee kupata misaada kwa comeroon,london,,,,,,toeni ushahidi la mimi na msekwa poa mnawivu wa kike,,,haya nitukaneni,,,,,,,,leteni ushahidi hapa tena si ule oookh alikua ananyoa 'o'wangapi waliwahi nyoa/////oo amepooza kisiasa nani hazeeki,,,,,,leta shahidi watu wawahi folen,,,achen umbea,,,,
 

hapo lipo wazi hata kipofu anaweza kuona kuwa ni ccm
 
Kitu nimegundua hap JF ndio maana watu hudiriki kusema Jf ni ya CHADEMA..kwasababu kila kitu hpa kinawekwa ki upinzan hasa wa chama changu cdm kwasababu watu tunashindwa kuelewa nini maana ya demokrasia ya kweli au kukuwa kwa demokrasia....hivi leo hii watu wengi huitolea marekan km nchi iliyopiga hatua ktk demokrasia....kwa mfano Obama pindi anagombea urais Hillary Clinton alikua mpinzani wake lakini sasa hivi huyu mama ndie waziri wa mambo ya nje kwan huyu mama kaathiri kitu gani kwa utendaji wa Obama na serikal yake??? Nasema hapa nikiwa na maana ya kwamba Kikwete kumteua Mbatia kuwa mbunge sio ajabu wala jambo geni hata kidogo....kwan angemteua wa chadema tungehoji??? au udp,nk..?? hapa anapanua wigo wa siasa na kuondoa siasa za mazoea na za chuki dhidi ya vyama vya siasa ili hata wa cdm akipata na akafanya hivyo watu wasione km ajabu...na ieleweke kumpa mbatia hiyo nafas sio kwamba ccm haina watu au wanachama makini sio hivyo hiyo ndio maana halisi ya siasa za kuvumiliana na kuheshimiana na kwa uwazi zaidi...naomba tubadilike SIASA HAINA ADUI WA RAFIKI WA KUDUMU''' naomba kuunga mkono hoja
 


Jina tu Mbatia halijakuwa kiuadilifu
 

???????????????????????????????????????????????????????????????????
 

Kwenye red, karibu vyombo vyote vya habari CCM imenunua, imemiliki. Hapa ndo tunaongea kwa uwazi kutoka kwenye chanzo.
Mengine, sicomment.
 
kwa manufaa ya taifa la uingereza

 
Rais akimpa Uwaziri Mbowe nae atakuwa kibaraka? Tafadhari acheni wivu na majungu yasiyo na tija kwa taifa letu.
panadol,
Mbowe sio cheap kiasi hicho. Mbowe na Wabunge wetu wa CDM watapewa Uwaziri na Rais wao alietokana na Chama chao. Kubali tu ukeweli Mbatia ni Kibaraka.

 
Last edited by a moderator:
kipi ambacho hujaelewa? hujaelewa just a sigle sentence vipi utaelewa kitabu kizima, tukuwekeee


Ndugu,

Sijaelewa nilichokiuliza. Ndiyo yawezekama ikawa ni sentesi moja lakini haileweki au inahitaji maelezo ya ziada. Kwani wewe hii unailewa 'hasipofika muda huu kesho mwambie aje baadae" Ndiyo muwekeee!
 
Makatibu wakuu wa CHADEMA na NCCR MAGEUZI walikwisha suluhisha hili jambo, sasa kwa nini mnaendeleza hoja mfu?
Ileje,
Walichosuluhishana ni ile kesi ya Uchaguzi. Hawamkusafisha Mbatia na Tuhuma za kutumiwa na CCM!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…