Uswahili ni nini kwanza..?? yawezekana hujui hata maana ya neno hilo..Kwahiyo wewe unataka Diamond aendeleze uswahili kwakuwa sisi ni waswahili?
Acha hizo wewe na ujiamini maana kila kitu wewe unafanya comparison
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa unashindwa kuelewa kipi mkuu au uelewa mdogo.
Gepu linazidi kupungua tu day after kutoka 1M view ASA iv ni laki 6 nahisi washaanza kuchanganyikiwaNaona [HASHTAG]#Zilipendwa[/HASHTAG] imeanza kuwakamata...
Je kiba kulipia Instagram na vevo ngoma yake iangaliwa Mara Nyingi hukuliona.....next time kaa fanya utafiti kwa pande zote mbili ila hapa tunakuona kama shabiki unaejificha kwny kichaka cha msema ukwl usiye na team.Nafikiri umenielewa vibaya ndugu yangu; vile vile ninajuta kuwa sikukumbuka kuwa thread za namna hii huwa ni za timu. Maoni yangu yalikuwa ni hiyo observation kuwa ninaletewa video hiyo hata jambo ninalofanya halina uhusiano na muziki. Niliangalia video hiyo mara tatu, na vile vile niliangalia ya kiba mara tatu pia kwa vile zilikuwa zimeandikwa sana mtandaoni. Ukiangalia screenshots nilizoweka hapo, utagaundua kuwa mimi ninaangalia muziki wa aina mbalimbali sana, siko tied na timu yoyote; samahani sana kama post yangu hiyo imekuudhi!
Washaishiwa pumzi haoo.. Kesho tunawa overlapGepu linazidi kupungua tu day after kutoka 1M view ASA iv ni laki 6 nahisi washaanza kuchanganyikiwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Mnataka afanye UZUNGU gani...!!? wekeni wazi basi....!Diamomd uswahili ndio unamgharim. Akiachana na mambo ya kiswahili na mameneja wa uswahilini, bado hana mpinzani.
Huo wimbo unaousema ni wimbo wa kawaida sana, sema yeye kaupa headline na jamaa katumia hyo kama kupata public sympathy, baada ya Alkiba kutoa wimbo na kesho yake WCB kutoa wao, Alkiba kapata huruma ya watu kwamba anabaniwa na WCB.
Angetumia akili wala huo wimbo wa Alkiba usingefika popote, ungekua ushajifia kifo cha asili, au usingepata media attention kiasi hicho.
Bado naamini Diamond akiacha uswahili atanedelea vizuri, vinginevyo atapotea.
Despacito in tangazo. Sasa Hapo unasemaje?Kuna kitu hujaelewa bado.
Hata wewe unaweza kulipia video yako YouTube.
Ukapata Views wakutosha.
Ukajidanganya kuwa watu wameipenda...kumbe umewanunua
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaakili sana we Jamaa umemjibu vizuri sana.hawa watu wanaachwa na teknolojia ya dunia hata hapa jf hawaoni matangazo siku hizi?Mbona hiyo siyo nyimbo ya kwanza kwa yeye kufanya hivyo. Na hata amefanya mini sioni tatizo, ukisikia watu wanafanya promotion ndiyo hivyo kaka!! Hata wasanii wakubwa wanafanya hiyo kitu. Tatizo lako wewe ushamba unakusumbua ndugu. Nyimbo mpya ukitoka kufanyiwa promo ni lazima.
Akili zako unanikumbusha siku moja nilienda kufanya kazi kwa mteja wa kampuni ninayofanyia kazi, nafika pale yule mteja akawa anasema "kampuni yenu siku hizi imeshuka sana kwa namba ya wateja, naona munajitangaza sana na wakati zamani munilikuwa hamufanyi". Mimi nikamuuliza swali dogo tu "mama kwani sisi na kampuni kama tigo, ipo ni kampuni kubwa?", "tigo kampuni kubwa". Nikamuuliza tena "huoni kila ikitembea dakika tano unakuta mabango ya tigo?? Ukifungua radio mara kwa mara unakutangazo za tigo??". Mwisho mama akawa kimya tu.
Na wewe acha majungu ndugu yangu, kama akili yaki haielewi maana ya promotion ilo ni kosa lako na mwalimu wako wa darasani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Maisha yapo na entertainment lazima iwepo, let them talk but honestly am diamond fan ila amekosea sana kutoa wimbo afta seduce me, zilipendwa ni mwimbo mzuri kuliko huo wa kiba but ye ndo kafanya hiyo attention iwepo, ila ndo burudaniVijana wa kitanzania, jishughulisheni na maisha yenu jamani, mnajihusisha na Diamond anawasaidia nini maishani?
Je kiba kulipia Instagram na vevo ngoma yake iangaliwa Mara Nyingi hukuliona.....next time kaa fanya utafiti kwa pande zote mbili ila hapa tunakuona kama shabiki unaejificha kwny kichaka cha msema ukwl usiye na team.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapana kalipia tangazo la wimbo wake,ukifungua videos lets say za marekani sababu location yako you tube wanajua uko TZ yatapop matangazo ya TZ kama airtel voda unatakiwa usubiri sekunde tano kama hutaki kuliangalia au ukaamua kuendela kucheki sasa yeye for the first time kalipia kabisa mwenyewe nilishangaa sanaHilo la video kuwa na matangazo kule utube ni jambo la kawaida sana na ni kwa video nyingi tu.
we ndo mswahili asil manake majungu kwa mwenye nacho usichokuwa nacho sidhani ni kama uzunguDiamomd uswahili ndio unamgharim. Akiachana na mambo ya kiswahili na mameneja wa uswahilini, bado hana mpinzani.
Huo wimbo unaousema ni wimbo wa kawaida sana, sema yeye kaupa headline na jamaa katumia hyo kama kupata public sympathy, baada ya Alkiba kutoa wimbo na kesho yake WCB kutoa wao, Alkiba kapata huruma ya watu kwamba anabaniwa na WCB.
Angetumia akili wala huo wimbo wa Alkiba usingefika popote, ungekua ushajifia kifo cha asili, au usingepata media attention kiasi hicho.
Bado naamini Diamond akiacha uswahili atanedelea vizuri, vinginevyo atapotea.