Prove: 2+2=5

Hahaha ila bibi wewe ni kiboko hata ku google na mimi naweza na bahati mbaya uki Google picha inayotokea ni hiyo uliyoweka hapa ,ndio akili za wana ccm wizi tu

ha ha ha ha kumbe bibi FaizaFoxy ame google

 
Last edited by a moderator:
Bibi nisaidie ku prove,tumia mathematical induction 1(2)+3(4)+5(6)..........+(2n-1)2n=n(n+1)(4n-1)/3

FaizaFoxy haha mfilisti bibi hana asililolijua
 
Last edited by a moderator:
Hahaha ila bibi wewe ni kiboko hata ku google na mimi naweza na bahati mbaya uki Google picha inayotokea ni hiyo uliyoweka hapa ,ndio akili za wana ccm wizi tu FaizaFoxy

Google na swali lililoletwa uone kitatokea nini.

Ya nini tabu na raha ipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…