Prove: 2+2=5

2*2+2?=5
Mkuu hapo kwenye question mark ni degree sema inazingua Ku attach so hapo ni mbili exponent 0 ambayo inakuwa= 1
 
2*2+2?=5
Mkuu hapo kwenye question mark ni degree sema inazingua Ku attach so hapo ni mbili exponent 0 ambayo inakuwa= 1

mbona umebadilisha swali?

prove 2+2=5 and not 2*2 +2ⁿ=5
 
Mkimaliza kujumlisha mniite nije kusahihisha........
 
Brn hii? Ndo mana mwanangu heri nimfundishe mwenyewe.

kinacho ongea kwenye hesabu mkuu ni namba na sio porojo za siasa

bring your mathematical facts to prove correct or wrong
 
kinacho ongea kwenye hesabu mkuu ni namba na sio porojo za siasa

bring your mathematical facts to prove correct or wrong

Haha hesabu ni janga la taifa ,ila kuna mjuvi mmoja anasemaga hizo shule mlienda kusomea ujinga
Kwa heshima na taadhima naomba nimwite hapa FaizaFoxy aje kutusaidia
 
Last edited by a moderator:
Wakati tuko f2 nilileta swali class waprove 1+1=1. Darasa zima likachemsha. Kwa sababu nilimeza kila kitu nilipolicopy hiyo kitu. Nikawaprovia fresh. Alipokuja mwalimu wa hesabu kuna mshkaji anamvaa mwalimu. Ticha akashangaa wanafunzi wa f2 kuja na swali kama hilo. Nikaitwa mbele ya darasa nionyeshe naiprove vipi. Nikashuka dah ticha alishangaa akasema nitafute baada ya darasa. Nilipoenda akaniambia dogo sikia utafeli acha mambo yamekuzidi kidato utafika wakati wake. Nikamwambia ticha nilikuwa nataka niwachemshe tu marafiki zangu i wasn't serious.
Ila nilipata ujiko sana
 

Hebu shuka tuone
 

Attachments

  • 1447698497855.jpg
    50.6 KB · Views: 306
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…