proud to be single

^^
Ha ha ndoa ina katabia ka 'mtakuja tu'
^^
 
ni vyema kujifariji..................

kuna mda u need someone to look at you
someone to lean your shoulder......someone to love you
Now you are talking...... And here I am.... Just lean on me while I'm looking at you lovingly
 
Lakini sio lazima kuwa na mtu ,nimaamuzi
 
maneno ya mkosaji
Na mbaya zaidi, hiyo mineno inakaaga kichwani na si kwenye kigegedeo.... Kigegedeo kikianza vurugu zake hata kichwa kinapoteza control ya mwili, maana chenyewe kinakuwa kimeshika hatamu
 
ni vyema kujifariji..................

kuna mda u need someone to look at you
someone to lean your shoulder......someone to love you

'ni kweli unenayo mammy..................tena ni kweli tupu my'
 
ivi ikitokea mume wako amekufa kwa sababu ya kuifadhi madaw ya kulevya tumboni uko nchin china utafanyaje?
 
Mara nyingi walio Single wana stress sana hasa wadada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…