Protokali kuhusu Naibu Waziri Mkuu

Protokali kuhusu Naibu Waziri Mkuu

nyumbamungu

JF-Expert Member
Joined
Mar 3, 2017
Posts
1,034
Reaction score
900
Je gari analotumia namba yake inabidi ibadilishwe kuwa NWM au itawekwa ngao? Au inasomekaje?

Anakuwa na msafara kama Waziri Mkuu?

Ofisi yake ipo ndani ya ofisi ya Waziri Mkuu?

Endapo kuna shughuli ya kitaifa kwa mfano kuzima Mwenge, atakuwa wa ngapi kuingia uwanjani, kwa mfano huu..

E 1 (Rais) E 2 (Makamu) E 3 (Waziri Mkuu) E 4 (Rais wa Z'bar) E 5 (Naibu W M) E 6 & E 7 (Makamu wa Rais wa Z'bar) je ndivyo itakavyokuwa?

Nafasi hii inaweza kudumu hadi Uchaguzi ujao 2025?? Au ni cheo cha mkakati?
 
Subiri utendaji na tija yake.Hayo mambo ya namba ya gari itakaaje au uingiaji wake kwenye dhifa tulia utayaona.Yamepangwa tayari.Hata akiingia kwenye shughuli yoyote hata kwa ngoma ya mdumange haina ubaya.Very minor issues!
 
Endapo kuna shughuli ya kitaifa kwa mfano kuzima Mwenge, atakuwa wa ngapi kuingia uwanjani, kwa mfano huu..
Kiprotokali naibu waziri mkuu ni baada tu ya waziri mkuu. Kama ulifuatilia hotuba ya rais wakati anahutubia alimtaja Makamu, akamtaja pm, kisha naibu pm, rais wa Zenji, na akaendelea.

Kuhusu ofisi, hapa panachanganya. Huyu naibu ameonekana akipokelewa na watumishi wa ofisi ya waziri mkuu na siku mbili baadaye akaenda wizara ya Nishati.

Wizara ya Nishati haitakuwa answerable kwa yeyote zaidi ya waziri wa wizara husika ambaye pia ni bosi wa wzara zote (naibu waziri mkuu). Sitegemei waziri mkuu kuja kumkalipia waziri wa Nishati ambaye pia ni naibu waziri mkuu.
 
Kwa nini umewaza kukaripia tu?Vipi kuhusu kupongeza?
 
What's so special about Biteko? Ni cheo tu cha kimkakati kuwatuliza sukuma gang na kukabiliana na upepo wa CHADEMA Kanda ya ziwa, baada ya uchaguzi mkuu atakua hana impact yoyote Ile atatupwa mbali. So ni cheo Cha kisiasa tu hakina impact yoyote kwenye utendaji
 
Umekuwa mrefu hadi unaiona kesho?
-Michezo ya kisiasa.
-Ukiwa Roma "vunja jicho lako" ufanane nao wa kanda hiyo.
-Cheza na akili zao tu.Hata lafudhi itawakumbusha walivyokuwa wakihadithiwa simulizi huku wakijinyuka makofi kufukuza mbu tu.
-"na kazalika"!
Kimzahamzaha uandishi wangu.
 
Mkuu, ukiamua kuwa chawa wa mama angalau tumia akili kidogo basi ili usimuaibishe mama mwenyewe. Hivi kwa kusema 'wivu tu' ndo umejibu swali lake alilouliza? Ili kumwonyesha kuwa ameuliza maswali ya kizwazwa, ungeyatolea ufafanuzi rahisi kabisa na kumfanya aonekane hakufikiria kabla ya kuuliza. Kwa jibu la wivu tu wewe ndiye unaonekana hamnazo.
 
Je gari analotumia namba yake inabidi ibadilishwe kuwa NWM au itawekwa ngao? Au inasomekaje?

Anakuwa na msafara kama Waziri Mkuu?

Ofisi yake ipo ndani ya ofisi ya Waziri Mkuu?

Endapo kuna shughuli ya kitaifa kwa mfano kuzima Mwenge, atakuwa wa ngapi kuingia uwanjani, kwa mfano huu..

E 1 (Rais) E 2 (Makamu) E 3 (Waziri Mkuu) E 4 (Rais wa Z'bar) E 5 (Naibu W M) E 6 & E 7 (Makamu wa Rais wa Z'bar) je ndivyo itakavyokuwa?

Nafasi hii inaweza kudumu hadi Uchaguzi ujao 2025?? Au ni cheo cha mkakati?
Rushwa ya madaraka
 
Majibu nimeyaelewa vizuri kwa upande wangu.. pia kuna aliesema ni kitu kidogo niliuliza, naomba nimwambie sio vibaya kwa mwananchi kufahamu tofauti ya namba au nembo zinazowekwa kwenye magari ya viongozi.

Kuna ndugu yangu aliulizwa swali alivyokuwa uwanja wa ndege Italia, RC DSM ni gari la Mkuu wa Mkoa Dar es salaam, je Mkuu wa Mkoa wa Pwani gari lake limeandikwaje?
 
Back
Top Bottom