Protokali imezingatiwa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Protokali imezingatiwa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Jackbauer, Jan 12, 2011.

 1. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #1
  Jan 12, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Haya nimeyasikia kwenye sherehe za mapinduzi;

  Mh.rais wa serikali ya mapinduzi zanzibar.
  Mh rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania...

  Hivi ni kweli rais wa jamhuri akienda zanzibar anakuwa chini ya rais wa zanzibar?
   
 2. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #2
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Yes, Zanzibar ni nchi iliyounda Muungano wa Nchi mbili zilizokubaliana kuungana.
   
 3. Gaijin

  Gaijin JF-Expert Member

  #3
  Jan 12, 2011
  Joined: Aug 21, 2007
  Messages: 11,850
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 0
  Kwenye masuala ya Zanzibar, anakuwa chini. Akienda masuala ya kimuungano anakuwa at the top
   
 4. M

  Mbalinga JF-Expert Member

  #4
  Jan 12, 2011
  Joined: Apr 9, 2010
  Messages: 1,382
  Likes Received: 408
  Trophy Points: 180
  Sisi macho na masikio yetu yako Arusha kwenye mazishi ya mashujaa, wewe untuletea mambo ya hao wasanii? hatuna muda wa kujadili mambo yao, sisi sasa tunafikiria ukombozi wa mtanzania.
   
 5. MESTOD

  MESTOD JF-Expert Member

  #5
  Jan 12, 2011
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 4,641
  Likes Received: 142
  Trophy Points: 160
  Ni kweli, Zanzibar ni State katika Muungano ambayo ina madaraka na mipaka kijiografia.
   
 6. Nicksixyo

  Nicksixyo JF-Expert Member

  #6
  Jan 12, 2011
  Joined: Jan 11, 2011
  Messages: 949
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndio maanake...Huwezi ukaenda home kwa mtu ukaenda kuwa mkuu,hata kama kwako wewe ni mkuu kiasi gani.Kwanza huyu zuzu tu nafuu huyo wa Zanzibar..!
   
Loading...