prosperity

ubinaadamu kazi dada yangu... duniani hapa inapendwa pesa, sio utu
 

but Blaine hebu fikiri mmezalliwa watoto 4, kati ya hao mmoja ni maskini anapata riziki kwa kuganga sana. huyu maskini akaoa mke kama ilivyo ada bahati mbaya akapata mtoto na huyu mtoto asidumu akafa. Mama mzazi na nyie ndugu wengne kwenye msiba wa mtoto wa kaka yenu manaenda kama watu baki tu. ila mwenzenu akaona kawaida tu wala hakujali.

siku 3 baadae kaka tajiri anafanya bday ya mwanae ya kifahari mama anashiriki kana kwamba nafasi ya bibi ionekane kweli. Mungu mambo yake bana ni magumu sana mnakaa baada ya muda huyu kaka yenu maskini mke anaugua sana anafariki, stil mama wala nyie ndugu wengine hamwoni kama mwenzenu anapita pagumu.
kweli kwanini mtu afanyiwe hivi kisa pesa??
 
Last edited by a moderator:
Pesa sabuni ya roho.Binadamu tupo hivi,tunapenda vilivyokusanywa kuliko vilivyo tapanywa.

kama ndivyo basi ni bora mtu ukabaki kujikusanya na familia yako tu manake hao unaowashbisha siku ukiwa na njaa hawatakujua.
 
Wengi wao huota mafanikio kupitia wewe! Wanachofata siyo kwamba wanakupenda, ila wanafata mafanikio yako. Wanaamini kuwa kupitia wewe watatoka, na wanakuwa na ambitions juu yako kuwa utawatoa.

"Binadamu mbele ya pesa ni sawa na mbwa mbele ya chatu".
 

A human being is a composition of a problem and a solution!!!!!
 
Wengi wao huota mafanikio kupitia wewe! Wanachofata siyo kwamba wanakupenda, ila wanafata mafanikio yako. Wanaamini kuwa kupitia wewe watatoka, na wanakuwa na ambitions juu yako kuwa utawatoa.

"Binadamu mbele ya pesa ni sawa na mbwa mbele ya chatu".


Well said...simple and precise!!!!
 

mumiiii gfsonwin so hard to deal with people...........never try at home, at school, at jf, at fb, or anywhere!!!!
 
Last edited by a moderator:
mhh! maji yamezidi unga. labda kuna sababu zingine hapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…