Mkono mtupu haulambwi!.fuata nyuki ule asali
Mtaani Kwetu tunaamini "Fuata nyuki upate manundu!"fuata nyuki ule asali
Dada siku zote:
Mti ulio na matunda ndio unaopopolewa sana.
Nijuavyo mimi kwa mtu aliyebarikiwa kwa mafanikio, idadi kubwa au ndogo ya wale wamtegemeaye, pia ni sehemu ya baraka.
makuuuuuuta mama!
kitu ya uchawi wa kizungu!
kitu ya karatasi yenye raaangi
kitu ya kuyaza mufuko fasi ya ku wallette
kitu ya kusafisha ile wanasema roho
ndyo vile wananjuagha watapata muteremko ku maisha ya kupeleka mukono kinywani!
makuuuta maaama!
mwali lkn mbona basi ukiterereka hao wote waliokuwa nyuma yako huondoka??
sawa ni baraka lkn sasa kwann ghafla ile hali ikitoweka watu huondoka?? je kwann wasiwe nyuma yako kama kwanza
Hivi nicas unajua kuna hata baadhi ya familia mzazi ama wazazi wanabagua watoto kulingana na kipato??Ni wanafki. Wapo nawe kwa ajili ya pesa zako tu.
sawa ni baraka lkn sasa kwann ghafla ile hali ikitoweka watu huondoka?? je kwann wasiwe nyuma yako kama kwanza
Hivi nicas unajua kuna hata baadhi ya familia mzazi ama wazazi wanabagua watoto kulingana na kipato??
wengine wakiwa na vipato basi wazazi huona ndo injini zanyumba. yaani wakisema jambo hawapingwi, na hata wakikose hakuna kuna wa kuwaonya. umewah ona hii??
huu ni ujinga ama woga wa pesa za mtoto??
Hata makanisani wenye pesa ndio wanapewa vipaumbele.
Ni kwa Mungu peke yake kuna fairness.
Na ndio maana tunashauriwa kwamba tukifanya sherehe tualike wasio jiweza ili wasitulipe ili Mungu atulipe; but what do we do?????........
It begins and ends with you, l am afraid.
Umelala kweli leo?