Prosperity consciousness exercise

Ultumiaje Mkuu?sio rahisi kvipi mkubwa?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Somo zuri naomba uendelee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mengi ya kuongezea katika hili ulilolizungumzia mkuu, kwa kugusia ukija usisahau kuhusanisha Faith, arfimation na visualization
 
Ahaa, nimeona coment zenu nyingi nzuri; nitaendelea.
 
Mkuu Tanzanite Klm, Lengo Langu Halikuwa Kujionyesha Kama Ulivyonihukumu, Bali Nilitoa Mfano Tu Namna Gani Ilinisaidia Hiyo Kanuni. Si Vibaya Hata Wewe Ungeweka Mfano Wa Namna Gani Imekusaidia Au Imewasaidia Watu Wengine Kivipi! ,,Kama Nimemukwaza Mtu/kukukwaza Ninaomba Msamaha Nami Ni Binadamu Sijakamilika,,. Kuhusu Hayo Machapisho Uliyotoa Kwamba Niyapitie ,sioni Umuhimu Wake, Niko Vizuri Kitaaluma Kwenye Fani Yangu,,, Sihitaji Kudhibitisha Hilo,
 
Hizo gharama zake ni zipi mkuu. Please share with us
 
Nimeziandika hizo amaunt.. nazifikiria wee... nazipiga picha... mpaka kieleweke
ha ha we endelea kuzifikiria myekundu ya kutosha hlf kesho mzee baba anabadilisha noti zinakuwa za blue huko ndo kupatwa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…