Propotionality

Malova

JF-Expert Member
Apr 21, 2011
784
228
education and discipline are direct propotional . shule au wanafunzi wenye nidhamu ndio wanaofanya vizuri. nidhamu inaweza kuwa ktk muda, kwa walimu au wanafunzi, wazazi nk
 
ni kweli kabisa! Ila sijakupata vzr hapo kwamba nidhamu inaweza kuwa ktk muda kwa walimu au wanafunzi na wazazi! Ulikuwa una maanisha nn mkuu?
 
Back
Top Bottom