Wakati mwingine 'privately' huwa najiuliza hizi habari tunaziona kwenye TV tu, au hata tunapitia sehemu zingine kuzielewa zaidi. Eti the UK has the 'chambers of commerce' hiyo chambers ina fanya nini embu tuelezee kazi yake na akina nani wapo huko na wana shughuli gani ya kuibabaisha serikali unaelewa hata process za 'white paper' the 'government formal bill' (kwa faida yako policy paper) na vitu kama hivi vinapitia procedures gani kabla ya huo muswada kujadiliwa na Bunge zima.
Ngoja nikufaamishe kuna reading kama tatu hivi prior to that, kuna comittee ya bunge ambayo inaipa scrutiniy mainly consisting of by partisan MPs ingawa the government outnumbers the opposition na hao wabunge wote uchaguliwa kupitia expertice on those policy areas, through work experience. Pili kuna ministirials QUANGOS ( kwa kuwa policies karibu zote utungwa na wizara na ma-experts wao on the fields in questions)hawa ni non ministrial employees. Na wamejaa experts on the policy also, mfano a business 'tax' raise or relief policy will be independently discussed by Business Proffesors, Executive business employees at top levels, Market reseaches etc. By the time of the third reading inaingia bungeni waziri abahatishi majibu he is well prepared to defend the policy.
And before it becomes law or a policy it has to go to the 'house of lords' na kwenyewe waizungumzie tena na waipigie kura before it can be passed into law. Kama unafuatilia siasa au kusoma vitabu vyake au hata kama unasoma daily 'broadsheets' now and then utagundua kulikuwa na agenda ya Blair kulivuruga the second house kwa sababu sheria nyingi zinakwama kwa muda mrefu on the second house.
Akaja na mbinu ya kun'goa inheretence peerage kwa kuwa ina produce many outright conservative na sasa wanazungumzia kuwe na mabadiliko pia ya uchaguzi, kuwe 40:30:30 reps wateuliwe field experts, chosen peers and elected ones.
Hizo argument kwao zinatokana na kuiangalia demokrasia kwanza, if democracy is for the people and people elect there reps (kumbuka siasa za uk ni based on policies sells to voters) hivyo voters want those changes to occur through the house of elected reps, therefore the lower house has no business of objectivity.
Unataka kuniambia hawa ma experts wote hao wanayo ipitia hizo policies hii 'chambers of commerce' inaweza fanya nini kuzuia kitu, na nani kawachagua kuwatetea wakati kuna legislatures ambao wametuliwa na wananchi. T
Tatizo watu hawaelewi tofauti ya direct actions na persive actions, unaweza kuona watu wanajadili vitu lakini hawana impact on the governmnet hila serikali hipo open to ideas kama unaweza jiendesha mwenyewe na ku-survive sawa. Lakini hata huyo 'Marvin King' can not directly influence politicians, Brown alikopa sana despite his disapproval, leo conservative wanalipa based on their election promises.
Hapo bado ujaingia kwenye technicals zingine za hiyo tax ni kwanini bora kulipa wengine wapate tabu kidogo, kuliko kuongeza tax hili kulipa bila kuweka changes. Jamani tupekuwe bila kuropokaga mnatufanya wengine tuonekana kutaka tunajifanya tunajua on simple arguments tu hizi.
Hayo mambo mengine wengine wanayo pendekeza ya kutoa wakuu wa mikoa na nini wala sita yaingilia, ni sawa na mtu alie suggest kwenye thread moja sijui tuwe na 'senate' au 'congress', bila ya kuangalia the manner why those houses were necessary in those political states zenye 'federal legislature'.
Kingine what would be the purpose in a country like TZ, that has a 'Unitary legislature' na hii mifumo yenye kuleta mabadiliko itafanya kazi vipi? na ita serve vipi democracy and the separations of power. Hii mifumo hipo for the sake of democracy na si kujiamulia tu, its what serves them best.
Inakuwa tabu kama jumba la great thinkers limejaa wavivu wa kupekua vitabu (no pun intended). Hatuko kufikiria sisi na mawazo yetu binafsi unapotoa suggestion politically always base ya argument on the people uongozi au viongozi ni dhamana tu na si kukurupuka.
Embu tuwe na uwezo wa kutoa uchambuzi ambao hupo justified na kuacha kupenda kujipa hope za kijinga jinga kwa sentence moja (wengine tunaona ni ufinyu wa kujiulezea na kutoa arguments). Watu wanaotoa mawazo bila ya kutafakari kwangu inaanza kuchosha sasa au kutoa hoja dhaifu ambazo azina maana na kugongeana senksi za ku supportiana upuuzi mtu, amegoogle unaona au umesikia hili 'hoo' na sisi tuwe navyo.
Si ajabu no more than three members in JF can change the whole debate on serious threads wakianza ku-synchronize their movements wanapokua na agenda zao only known to them, nimewakubali.