Proposal Writer -Jobs

Wewe kijana acha kuleta ujanja ujanja hapa. Mimi nikitaka kuelezea umahiri wangu siwezi kufanyia kwenye tangazo la mtu, nitafanya hivyo kwa kuanzisha uzi juu ya hilo tu.
Ulichokifanya wewe ni biashara uchwara. Idiot kabisa.
Unajiamini eh, huna busara, hata kama mtu kakosea huwa hatujibu hivyo, regardless imekutouch vipi. Kubali tu thats your weakness brother! Hata kama nimejitangaza that was only to show that mawazo yetu yanatokana na sisi kuwa ktk field. Wewe imekutouch nini unaanza kuhash kihivyo! Please hatuko hapa kutoleana maneno upuuzi kisa comment, tulikuwa tunachangia reaction post ya mwenzetu... Hakuna kilichoharibika sanasana tumejifunza mengi...
 
Hopeless kabisa
 
Nimewaambia Vijana hawa wasijaribu kuchafua taaluma yetu, hawajui chochote kwenye kuandika hizo proposals. Nimewaambia walete hapa hizo wanazoziita Proposals tuanzie mjadala hapo.
 
Reactions: Lee
Nani mjuaji kati yenu?
Nilitegemea mjuzi amwage hapa proposal yake iliyo-compitent bila woga na wajuzi wenzake waiboreshe au waikosoe.
Kwa mabishano haya maneno tu, tuta-assume wote walewale ambayo siyo kesi.
Sawa kabisa, huu ni ushauri ulitolewa kwa waliokuwa wanareact negatively post ya mtoa post! Sisi wengine tukaingilia mgongano wao ili kucalm down malumbano yao... Mimi nikawa neutral lkn nikionyesha ufahamu wangu atleast sababu nafanya pia... Ila sijakutana na hiyo situation.. Nikatoa ushauri based on the situation ya mabishano (pitia comment yangu ya ushauri) ...ndg hapo juu akanijibu kwa lugha mbaya ilihali nae ni mchangiaji tu.. Sijajua tatizo lake lilikuwa nini, ilihali thread ya mtu mwingine and he stands uncorrected! But hakuna shida
 
Nimewaambia Vijana hawa wasijaribu kuchafua taaluma yetu, hawajui chochote kwenye kuandika hizo proposals. Nimewaambia walete hapa hizo wanazoziita Proposals tuanzie mjadala hapo.
Tukiwa JF sote ni member, umri unabaki kuwa hidden, kuhusu taaluma, inakuwa justified na facts! Kama wao ni "vijana wanaochezea taaluma zenu" wewe unaweza kuwaonesha yakwako au ukatoa shule stahiki kuliko kuishia kupinga mawazo ya wengine bila evidences! Nadhani hakuna haja ya kutafuta ngazi pasipo ukuta
 
Nimesoma tangu mwanzo wa thread: hoja yangu ni kutaka kumaliza mabishano (ambayo hata hivo siyo lazima) ambayo kila mmoja anavuta kwake. Nimeusoma msimamo wako kuwa pamoja na uzoefu ulionao, upo tayari kufundisha na kufundishwa ambalo ni jambo jema! Hata hivo pengine hauko tayari kufundisha au kutoa ufahamu wako kwasababu unazozijua, ndiyo maana Bosco ang'ang'ana uweke moja ya writeups ili atoe maoni yake.
 
Reactions: Lee
Siwezi toa sample ya kazi zangu sababu sio mimi niliyembishia mleta tangazo... Nimeshiriki kumshauri huyo ndugu kulingana na alivyo mchallenge mtoa post... So sijabishia mtoa post wala mbishani wake (ambao wanaonekana wanajuana before... Ila ushauri wa huyu ndg kwa mbishani wa mtoa post akasema alete kazi yake hapa ashauriwe kuona how proffesional it is! ) ,Mimi hapo naingiaje?
 
Sio jambo jema kutangaza biashara yangu kwenye tangazo la watu hapa, nadhani itabidi nianzishe uzi maalum kwaajili ya hii TAALUMA ADHIMU. TAALUMA ambayo ikitumiwa vizuri inaweza kubadilisha maisha ya MAMILIONI YA WATANZANIA..

Huko kwenye uzi wangu nitaweka sampuli za PROPOSALS ambazo ninaamini kupitia kwayo nitaelimisha Vijana wengi mno, na pia kujengea uwezo wengine ili tuwe na waandishi wa Proposals wenye kujiamini na wenye kufanya kazi zao kwa WELEDI WA HALI YA JUU MNO.
 
Nobody owns hii profession,... Sisi wengine we learn, gain and then practice. Kwaivo ushauri huo ni mzuri Mkuu. JF ni platform inayotusaidia ku experience mambo mhimu ktk harakati za maisha yetu, sio sehemu ya kudhihaki wengine kwa kigezo cha weledi mkubwa zaidi kupita wengine, hata kukosoa mwenzio vema kukawa positive kukichagizwa na lugha nzuri. Naamini kabisa tunajifunza mengi sana kupitia posts na comments zake, ilimradi ziwe zinazojenga. Pia kwa jinsi tulivyo humu si vema kumdharau mtu yeyote kwakuwa humu hatujui vizuri "Who is who".
Sorry Kama kuna mahali nimemdhihaki mtu tangia nimeanza kucomment hii thread!
 
Wazo jema, kwakuwa wengine watajifunza pia.
 
Nikiona proposal yako tu, naweza kukuambia kama UNAJUA au HUJUI kitu.
 
Nikiona proposal yako tu, naweza kukuambia kama UNAJUA au HUJUI kitu.
Personally siku nikikwama nitakuconsult.... But for now am good! Sijalalamika, sijalalamikiwa! since 2011, nimefanya proposal assignments kadhaa, na wateja waliridhika na zilisaidia ktk malengo yao.
 
Inaonekana huyu Ndg Bosco Ntaganda either ni muhusika Wa moja kwa moja au ana maslahi mapana katika hiyo kampuni iliyotangaza kazi. Katika utetezi wake kwa hiyo kampuni sijaona sehemu yoyote inayojionyesha kwamba amefanya utafiti Wa kutosha Wa kuitoa kampuni katika shutuma hii, lakini anataka kuwaaminisha watu kwamba hiyo kampuni haina matatizo,ila wenye matatizo ni sisi. Tunaomba ndugu Bosco ingekuwa vizuri uka declare interest yako katika hiyo kampuni kabla haujaendelea kuitetea. Isije ikawa mwenye kampuni ameamua kujitetea kwa kupitia mlango Wa nyuma.
 
Ndugu yangu ipilimo Mimi Huwa nazingatia vigezo vyote vya kumuandikia MTU proposal, kwanza ni lazima usome Na kuelewa guedline/criteria za donor unayemuomba ufadhili kama zinaendana Na anachotaka MTEJA wako. Vilevile ni lazima upate profile ya MTEJA uone kama inaendana Na mahitaji ya Donor. Mala nyingi wafadhili wanapenda kufadhili miradi kupitia mashirika/NGOs zilizoanzishwa kwa malengo yanayofana Na kile walichokusudia kukifadhili(ingawa siyo kwa donors wote). Kwa hiyo kunamambo mengi ya kuyazingatia kabla haujaanza kuandaa proposal siyo kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…