Proposal Writer -Jobs

Ila kwa uzoefu wangu ktk kuandaa Write-ups kwa miaka 10 sasa, zipo proposals zilizokuwa nje ya vigezo vya donors (sio chini ya kiwango), na Zipo ambazo zilikuwa detailed and inclusive lakini bado ziliposhindanishwa zilifeli kupita... Sababu ya uwingi wa applicants.... So inawezekana mtu akakupa kazi hii akitegemea funds za kushindaniwa.. No matter how strong it is, inaweza isipite, ndipo mteja anakwambia sikulipi ilikuwa chini ya kiwango.... Lakini proposals zina malengo mengi, zingine ni kuvutia wabia ktk mradi, kushawishi taasisi ifanye mradi, kuomba Mabadiriko fulani, kusaidia kumanage mradi husika (guiding tool) nk. Hivyo kabla hujakubali kuandika jiuluze lengo la hiyo proposal... Wengi wanatumia kumobilise external funds..ambako kuna ushindani mkubwa.. Hivyo muandaaji jikite kujua kwanza malengo ya mfadhili, vigezo vya upimaji proposal husika... Ndipo uandike... Usikukurupuke kuandaa ilimradi umepewa na mteja uandae, be inquisitive kwa habari ya donor's criteria to fund.. Sababu wengine wana format zao kwa mradi husika.. Wewe ukang'ang'ania format ya kawaida, Proposal itafeli.
Afterall proposals zipo ambazo ni simple na complex kufatana na nature ya mradi.. Hivyo hata proposals zinakuwa simple au complex.
Ni hayo kidogo niyajuayo
 
Acha ujinga dogo! Lete kazi yako hapa tuone kama kweli unajua hata kuandika hizo proposals. Hata kama ningekua mimi, kama unaandika UTUMBO nitaanzaje kukulipa?

Kazi za proposals zina changamoto nyingi, trust me, ni lazima iandikwe kiutaalam haswa na na sio kama unaandika BARUA TU. Hebu lete hata kazi yako moja tuone basi. Acha wivu wa kishamba dogo!
 
Angalau wewe unaonesha una weledi na haya mambo. Uandishi wa proposal unahitaji mtu mwenye weledi wa kutosha na sio mwenye njaa ya kupata pesa tu.
 
Pia kuleta proposals mtu kafanya na kuiweka hapa wazi inahitaji kibali cha mwenye aliyeandikiwa proposal, mwenye project idea...
Hiyo ni kutaka kumsaidia si amekuja kuomba msaada hapa? Nimefanya analysis za proposals kwa zaidi ya miaka 17 sasa, kama umeandika kitu cha HOVYO nakueleza hapo hapo baada ya kuona kazi yako tu.
 
Uko sahihi kabisaaaaaa... Mtaalam nguli afanye nae
Kama mmedhulumiana pesa usitake kutuaminisha ni kwa sababu ya Proposals, nenda mkadaiane huko.

Kama unataka kutushirikisha kuhusiana na Proposals zako kuitwa DUNI, lete mojawapo hapa ili tuanzie mjadala hapo! Kuandika proposal sio KUJUA KIINGEREZA TU, ni zaidi ya hapo.
 
Unashindwaje kuleta angalau hata kazi yako moja MAKINI hapa ili tuone kama kweli ni PROPOSAL? Vijana msidandie mambo ambayo hamyawezi jamani, proposals zinaandikwa na WABOBEZI tena wa miaka DAHALI.
 

Ninavyojua mimi proposals huandikwa na wadau kwa pamoja katika michakato ya Participatory kama PRA ama PPS. Haiandikwi na mtu mezani peke yake kama ile ya kiutafiti vyuoni. Wangekuwa wanatafuta consultants wa kuendesha mazoezi hayo tungeelewa.
 
Rafiki, acha kutuchafua bwana. Kama umeandika Proposal "dhaifu" isiyo na tija, italipwaje? Ikumbukwe sio kila mtu anaweza kuandika hiyo proposal, ni Taaluma hiyo, ndio maana tupo hapa kusaka Wenye weredi na mambo hayo!
Kabisa kabisa Mkuu, hawa WAVAMIZI wa Taaluma za Watu imekua shida sana miaka hii. Kuna kazi nyingine hazifanyiki kwa majiribio kama michezo ya BIKO au TATUMZUKA.
 
Ninavyojua mimi proposals huandikwa na wadau kwa pamoja katika michakato ya Participatory kama PRA ama PPS. Haiandikwi na mtu mezani peke yake kama ile ya kiutafiti vyuoni. Wangekuwa wanatafuta consultants wa kuendesha mazoezi hayo tungeelewa.
Kabisa Mkuu
 
Mkuu uko dar ??? Kama uko dar fungua kaofisi utapata watu naonaga jamaa zangu wanapiga pesa tuu kwa kazi hiyo
 
Mimi sijasomea masuala hayo ya Project lakini nipo vizuri kwenye kuandika hizo Proposals, je naruhusiwa kutuma maombi jamani?
 
Kweli Vyuma vimekaza haswaa. Wadogo zangu msikimbilie mambo yanayo wazidi ubavu, ujasiri sio kufanya lolote bali kufanya kilicho ndani ya uwezo wako kwa umakini wa hali ya juu mno.
 
Nadhani kwa mabishano haya, dhahiri kuna cha kujifunza.. Mtoa Mada na aliyereact negatively.. Wametusaidia sana ktk field hii, binafsi changamoto nimeziona kupitia comments hizi, zitanisaidia kuboresha kazi hii.
Nipo kimara mwisho with registered business name : IPILIMO BUSINESS SOLUTIONS

Kwa wale tulio ktk field vema kuendelea kushauriana positively ili wateja wetu wanufaike... Nasisitiza muulize vizuri Mteja wako anahitaji proposal ya namna gani, anapeleka wapi.. Ikiwa kuna donor fulani its better ukachukua mda kumstudy huyo donor before justifying yourself kumfanyia Mteja wako... You will endup like hell.. Hata ukichukua pesa yake na yeye asifanikiwe haitakupa credit mbeleni... Na wewe Mteja acha kukimbilia kutaka kufanya project fulani madam imeandikwa "call for proposal" hakikisha una idea haswa, pia you yourself qualify for it... Na kwa wanaojaribu kuandika hizi proposals just for money sake, anacopy na kupaste kazi za wengine, kumbuka proposal lazima iwe "genuine"
Wewe ndo unawaharibia wengine...unadhani unapenda Sana Basi katrain zaidi au omba kujiunga na wazoefu na wenye weledi uweze kugain enough skills..... Mwisho kwa "dalali" yeyote wa kazi hii, unapata kazi sehemu unajifanya unaelewa kazi hii, unaaminiwa kumbe unakuja kutafuta Wabobezi bila ufahamu mkubwa.. Mwisho ulete lawama.. Acha au boresha utafutaji wako.

Ijumaa njema
 
Nawewe umekuja kujitangaza hapa? Halafu unaita wenzio MADALALI? Kampuni haipaswi kutafuta Wataalam wenye weledi wa hali ya juu? Hopeless kabisa.

Ninyi ndio mnaosababisha hii TAALUMA yetu Watu waichukulie poa na kudhani KILA MTU anaweza kuandika tu.
 
Kweli Vyuma vimekaza haswaa. Wadogo zangu msikimbilie mambo yanayo wazidi ubavu, ujasiri sio kufanya lolote bali kufanya kilicho ndani ya uwezo wako kwa umakini wa hali ya juu mno.
Kabisa Kabisa Mkuu, hawa WAVAMIZI wa Taaluma wamefikia hatua mbaya sana sasa. Kuandika proposal ni Taaluma inayohitaji weledi wa hali ya juu mno. Ukiandika hovyo hovyo unaweza hata kuharibu IMAGE ya Taasisi husika kwa Wafadhili.
 
Nawewe umekuja kujitangaza hapa? Halafu unaita wenzio MADALALI? Kampuni haipaswi kutafuta Wataalam wenye weledi wa hali ya juu? Hopeless kabisa.

Ninyi ndio mnaosababisha hii TAALUMA yetu Watu waichukulie poa na kudhani KILA MTU anaweza kuandika tu.
Ila wewe ndg una maneno makali sana, hata hujanielewa ktk comment yangu, rudia tena. Hiiii pia inaonyesha weakness za wasomi wengi Tz. Comment zako zote inaonyesha you want to lead the thread na kwamba uko more knowledged on the field, yawezekana, but try to show your neutrality!
 
Wewe kijana acha kuleta ujanja ujanja hapa. Mimi nikitaka kuelezea umahiri wangu siwezi kufanyia kwenye tangazo la mtu, nitafanya hivyo kwa kuanzisha uzi juu ya hilo tu.
Ulichokifanya wewe ni biashara uchwara. Idiot kabisa.
 
Reactions: Lee
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…