Wewe siyo MTU mzuri kabisa. Unawafanyisha watu kazi,ikifika mwisho Wa mwezi unawanyima watu mishahara yao kwa visingizio visivyoeleweka wakati MTU anapoteza muda wake Na bando zake mwezi mzima. Inaelekea umewazurumu watu wangi sana kwa utaratibu huo. Unawafanyisha watu kazi ukifika mwisho Wa mwezi hauwalipi alafu unatangaza tena nafasi za kazi. Mungu hapendi.Anahitajika haraka, mtu mwenye ujuzi na maarifa ya kuandika Proposal
Mkuu embu elezea vizur tabia ya huyu mtu ili utusaidie na wengine wenye njaa ya kazi!Wewe siyo MTU mzuri kabisa. Unawafanyisha watu kazi,ikifika mwisho Wa mwezi unawanyima watu mishahara yao kwa visingizio visivyoeleweka wakati MTU anapoteza muda wake Na bando zake mwezi mzima. Inaelekea umewazurumu watu wangi sana kwa utaratibu huo. Unawafanyisha watu kazi ukifika mwisho Wa mwezi hauwalipi alafu unatangaza tena nafasi za kazi. Mungu hapendi.
Wewe siyo MTU mzuri kabisa. Unawafanyisha watu kazi,ikifika mwisho Wa mwezi unawanyima watu mishahara yao kwa visingizio visivyoeleweka wakati MTU anapoteza muda wake Na bando zake mwezi mzima. Inaelekea umewazurumu watu wangi sana kwa utaratibu huo. Unawafanyisha watu kazi ukifika mwisho Wa mwezi hauwalipi alafu unatangaza tena nafasi za kazi. Mungu hapendi.
No kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.Jamani uandishi wa Proposal ni Taaluma, sio jambo la kudhani mtu yeyote tu anaweza kufanya hivyo. Asante.
Kama ni kweli wewe jamaa hukufanya fair angalau basi ungewapoza kidogo kulingana na hali ya uchumi ilivyo na si kuwatolea nje kabisa moja kwa moja ata mungu hapendi ndugu yanguNo kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.
Mimi nina hizi skills, ila sihitaji kuajiliwa, natafuta mwenyewe, naandika mambo yanaendaNo kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.
No kweli uandishi Wa proposal ni taaluma ndiyo maana ukaingia mkataba Na sisi kufanya kazi(tulikuwa watatu) Na tuliifanya kazi yako kiuadilifu Na kitaaluma kabisa. Hukuwahi kunilalamikia kuhusu uwezo wangu,ulikuwa unatuma kazi nafanya,cha kushangaza unafika mwisho Wa mwezi hutoi mshahara unatoa visingizio vingine kabisa(siyo vya kitaluma.). Alafu Leo unakuja hapa eti unatafuta watu Wa kukufanyia kazi.anyway mwenye kujalibu hiyo kazi ajaribu kuomba labda jamaa atakuwa amebadilika, lakini Mimi siwezi. Tuliingia mkataba kabisa Wa kimaandishi Na ushahidi Wa kazi nilizokua nakutumia through email address ninao,nilikuwa nauwezo kabisa Wa kukushitaki, lakini nimeamua kumuachia Mungu.
Kazi ya kuwaandikia watu Proposals ina changamoto nyingi Sana... Mathalani unamkabidhi mtu proposal yake badae analeta sababu nyingiiii eti haikuwa na kiwango nk nk... Niliwaandikia watu fulani aisee nimejipinda mwenyewe, kwenye malipo wananambia watu wao (wafadhili wamekataa) ,haaaah nikaishia hivyo...
GoodMimi nina hizi skills, ila sihitaji kuajiliwa, natafuta mwenyewe, naandika mambo yanaenda
Msisitetee upumbavu, kwa kawaida Taasisi inapohitaji kuandikiwa proposal inakua na makubaliano fulani na Mfadhili au imepokea wito huo.Kama ni kweli wewe jamaa hukufanya fair angalau basi ungewapoza kidogo kulingana na hali ya uchumi ilivyo na si kuwatolea nje kabisa moja kwa moja ata mungu hapendi ndugu yangu
Dogo weka kazi yako hapa tuone ubora, amesema kazi yako ilikua chini ya kiwango sasa weka hapa tuanzie kujadili hapo. Mimi pia ni nguli wa masuala ya Proposals.
Usipende Kuropoka kwa vitu usivyovielewa. Huyu jamaa huwa ana kampuni yake ambayo inafanya kazi ya kuandika proposal kwa NGO mbalimbali. Yani huwa anapelekewa kazi Na hizo NGOs alafu yeye anandika hizo proposal kulingana Na Nahitaji yao. Akishapokea hizo kazi ndiyo anatupa sisi tuzifanye. Hiyo kazi nimemfanyia kwa muda Wa kutosha Na wala hakuwahi kulalamika kuhusu weledi wanguMsisitetee upumbavu, kwa kawaida Taasisi inapohitaji kuandikiwa proposal inakua na makubaliano fulani na Mfadhili au imepokea wito huo.
Sasa muandishi mzuri wa proposals ni lazima azingatie masuala mbalimbali ya kitaalam katika andiko lake ili mwisho wa siku kazi ikubalike kwa Mfadhili husika.
Nijuavyo, Vijana wengi wa Kitanzania hawajui kuandika proposals, wana andika kwa KURIPUA TU. Nadhani wame athirika na kuandika MASHAIRI YA BONGO FLEVA wakiwa Vyuoni.
Mimi sitetei ujinga na uonevu wowote, ila Kijana ALETE KAZI YAKE MOJA HAPA, ambayo anahisi aliiandika kwa UBORA WA HALI YA JUU MNO.. Ili tuanzie hapo kwanza, kabla ya kulaumu upande wa pili ambao HAUPO HAPA (umekula BAN)
Vijana msichukulie kila kitu kama unaweza kufanya tu, mambo mengine ni TAALUMA tena ya Watu wachache sana kama sisi.
Uko sahihi kabisaaaaaa... Mtaalam nguli afanye naeUsipende Kuropoka kwa vitu usivyovielewa. Huyu jamaa huwa ana kampuni yake ambayo inafanya kazi ya kuandika proposal kwa NGO mbalimbali. Yani huwa anapelekewa kazi Na hizo NGOs alafu yeye anandika hizo proposal kulingana Na Nahitaji yao. Akishapokea hizo kazi ndiyo anatupa sisi tuzifanye. Hiyo kazi nimemfanyia kwa muda Wa kutosha Na wala hakuwahi kulalamika kuhusu weledi wangu
Hill swala la kusema eti taaluma yangu IPO chini anazuga tu baada ya kumuumbua humi. Kama wewe ni mtaalamu Wa mambo hayo ya kuandaa proposal Fulsa hiyo hapo jamaa ametangaza,changamkia,usitake kufanya mjadala uwe mrefu.