Proposal kwa Mwali

Nakusalimia ndugu yangu....
Hope mzima...
Tusalimiane kwanza then tuanze mchakato wa Mwali ingawa nahofia sana Saint Ivuga atatumaliza akiona hili
 
Last edited by a moderator:
mweleweshi atakuelewa
 
Sema aina ya mboga kwanza ..
matembele , mchicha, kisamvu, mlenda
Au "SUKUMA WIKI"?
 
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.
 
Last edited by a moderator:
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.
Sawa tu, kwani dunia ya sasa usawa, ila sema sitaki kusikia mambo ya mdundiko!
 
dah! nilikuwa nimeshiba ila njaa ghafla! imagine umeigonga hiyo alaf ukapata mbuyu wa bariiiiid

Mbuyu tena mkuu?
Labda kama kesho sio siku ya kazi, manake huo mning'inio wake, mkubwa hapangwi!
 
hahah!!!
Basi naplay low profile! Ndiyo maana nimeanza na ugali.

Teh inabidi ajue huo ugali ni wa mboga gani....ila ungeamuuliza km yuko tayari kuishi Paris usingekuwa na kazi kubwa ya kumshawishi
 
Nakutakia kila la kheri bt
Note : huu ukoo haukawii kutoa talaka!
Na talaka inatoka kukeni !
Niulize mie , au labda Mwali akija hapa afafanue.
Kuna ukweli katika hili au vinginevyo.

JG tuwasiliane baadae tujue namna utakavyoanza maisha mapya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…