Silasuga mahinyila
JF-Expert Member
- Dec 9, 2013
- 209
- 119
Kama nimekuelewa vizuri una ekari kumi ila ingekuwa vizuri kama ungesema unalima, unafuga ngombe.samaki.mbuzi.kuku au unalima mazao gani? Shamba liko wapi. Je kuna maji karibu? Kuna nyumba umeme na maji? Nk.
Yapo mashirika yanayotoa mikopo lakini sio kwa miradi midogo hivyo. Unachotaka kufanya ndicho kitakachokuunganisha na watoa mikopo.
Kikubwa ni ubunifu wako na ubora wa proposal lako. Usikimbilie world bank.
Hebu google 'mikopo ya kilimo Tanzania' ufuatilie link za taasisi husika. Halafu google ' how to write a funding agricultural propsal' upate picha.
As Rawasha told u, hekari 15 kwa kilimo cha mazao ni ndogo sana hasa kama unafikiria kuomba grants toka kwa donors,labda kwa hiyo option ya 2 ya kufuga mifugo au NYUK, kwa kesi ya NYUKI jaribu kwenda ofisi ya WAZIRI MKUU maana yeye ni mfugaji wa NYUKI atakupa ushauri na hata mtaji,andaen idea yenu fresh mnaweza kufanikishaHekari 15 kwa kilimo ni ndogo sisi tunataka kufanya ufugaji naamini mladi hautakuwa mdogo tukifuga . Tumependekeza ufugaji kuku, ng'ombe na nyuki. nitaangalia site hiyo mkuu nipate Picha shukrani mkuu.
but tumeona 17000 USD itatosha
As Rawasha told u, hekari 15 kwa kilimo cha mazao ni ndogo sana hasa kama unafikiria kuomba grants toka kwa donors,labda kwa hiyo option ya 2 ya kufuga mifugo au NYUK, kwa kesi ya NYUKI jaribu kwenda ofisi ya WAZIRI MKUU maana yeye ni mfugaji wa NYUKI atakupa ushauri na hata mtaji,andaen idea yenu fresh mnaweza kufanikisha
nakubaliana na ushauri wa wenzangu hapo juu, nami nikushauri kidogo ekari 15 ni ndogo kwa hayo mashirika uliyoyataja ila ni kubwa kwa masharika ya hapa nchini na usikimbilie word bank au fao, hapa hapa nchini yapo mashirika na taasisi yanayoweza kukupa mkopo, cha msingi ni ubora wa hiyo proposal, kwa kukusaidia cheki na crdb, maendeleo bank,ofisi ya mkuu wa wilaya/mkoa mahala ulipo na watu binafsi mfano mbungo au diwan na watu wachache wenye ushawishi na uwezo wa kukusaidia ambao wewe unawajua so hakikisha hyo proposal yako inakuwa wazi na inatekelezeka, usipende kutuma proposal kwa email mana hilo ni wazo na ni ubunifu so unapotuma wapo wenye uwezo lakini hawana ujuzi au mawzo kama yako so wataiona na wataifanyia kazi, mfate mtu personaly mueleze what you have/u think akielekea kukubalia mpelekee aione officially then......am not sure but watu wasizidi 5 kwa kikundi.
Mkuu Hongera sana, Kwa hatua hiyo, Kuna Kitengo ndani ya World Benki huwa kina Dili na Mikopo ya Biashara google WB utapata maelezo zaidi, Ila kuna Changamoto zake nyingi sana. Na ninavyo juwa kupata Mikopo mikubwa kama kikundi ni vigumu sana, Ni lazima uwe Kampuni.
1. Nyie kama kikundi mnaweza anza na mlicho nacho kwa sababu mikopo mara nyingi huchukua muda mrefu sana.
2. Na ili kushawishi watu/taasisi ni laizma muane kabisa.
3. Sajilini kama kampuni ndo itakuwa vizuri make ni vigumu kupata watu wa kufanya nao kazi ikiwa mko katika kikundi na mara nyingu humainika kwamba vikundi si kwa profit.
4. Mfumo wa Biashara Duniani unatambua kampuni, au Individual na si kikundi.
You are talking about meeting with the PM so casually.As Rawasha told u, hekari 15 kwa kilimo cha mazao ni ndogo sana hasa kama unafikiria kuomba grants toka kwa donors,labda kwa hiyo option ya 2 ya kufuga mifugo au NYUK, kwa kesi ya NYUKI jaribu kwenda ofisi ya WAZIRI MKUU maana yeye ni mfugaji wa NYUKI atakupa ushauri na hata mtaji,andaen idea yenu fresh mnaweza kufanikisha
@chongchung as long he is the son of peasant i don think if it will be difficult to access him, unless his subordinates will create bureaucracy, why Bongo Fleva's stakeholders are access to meet with JK and not PM? This year PM met with people on Nyerere Square during such fool campaign of SAMBAZA UPENDO,umesahau?You are talking about meeting with the PM so casually.
Hapana mdau wala sio Ngumu,ukiamua utaonana nae,suala la ratiba tu kuijua, why mnahisi kuonana na hawa viongoz ni ngumu?katiba hairuhusu?tatizo ni nini?kuonana na mtu kama pinda nafikiri vigumu sana lakini nitajitahidi nimeyapenda mawazo haya
Yeah! i understand but you have to note that it was inevitable only for suiting political purpose before public eye but talking about individual, bureaucracy must be.@chongchung as long he is the son of peasant i don think if it will be difficult to access him, unless his subordinates will create bureaucracy, why Bongo Fleva's stakeholders are access to meet with JK and not PM? This year PM met with people on Nyerere Square during such fool campaign of SAMBAZA UPENDO,umesahau?
kuonana na mtu kama pinda nafikiri vigumu sana lakini nitajitahidi nimeyapenda mawazo haya
Ni kweli, ekari 15 ni Ndogo. Lakini Hekari hizo ni kubwa vile vile Km mtaamua kulima kilimo cha Greenhouse na hasa Nyanya za Anna F1. Mtaweza pata Hadi shs 500mil ktk Eka Moja. Kwa kuanzia hizo Dola 17,000 zatosha. Hatua Elfu moja huanza na moja. Bravo na Mni pm.wakuu heshima kwenu.
Natumaini thread yangu pia licha ya kutatua changamoto zinazonikabili pia itakuwa solution ya mtaji kwa baadhi ya vijana.
Mimi na mwenzangu I mean rafiki yangu baada ya kuhitimu elimu ya chuo tumefikiria kujiajili.
Baada ya kila mbinu ya kibiashara tuliyoifanya kugonga mwamba tumefikia hatua ya kuandilka proposal. Mtaji tuliyonao ni hekari kumi na tano ambazo tumewekeza kwa matumizi ya miaka kumi. Hatuna mtaji zaidi.
Tunataka kuanzisha Agriculture project kwa maana hiyo tumeandika proposal kuomba financial support.
Nina maswali kidogo kwa wazoefu wa haya masuala.
Tunataka kuwasilisha propasal word Bank na FAO je, hawa jamaa hufadhili miradi kama hii?
Je, kwa ushauri wako monetary amount isi exceed kiasi gani?
Kikundi kinacho andika Proposal chafaa kuwa na watu kuanzia wangapi?
Je ninaweza kutuma proposal kupitia email zao ninazo ziona kwenye website ama kuna njia nyingine?
Nawasilisha.................
Hapana mdau wala sio Ngumu,ukiamua utaonana nae,suala la ratiba tu kuijua, why mnahisi kuonana na hawa viongoz ni ngumu?katiba hairuhusu?tatizo ni nini?
Nenda wizara ya Kilimo, chakula na ushirika. Mfuko wa pembejeo. Hawa wanatoa mkopo wa riba ya 7% kwa muda wa miaka 3. Email: agift94@gmail.com au agift@kilimo.gotz. Simu 0222700191