Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

aka2030

JF-Expert Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
2,672
Reaction score
3,737
Kijana huyu wa makamo ambaye ni mtumishi mungu mwenye utajiri wa kupindukia na anayegawa pesa na misaada huku akiwa na showoff sana kwenye mitandao nauliza ni nani? Na huu utajiri ameutoa wapi? Anaelimu gani? Kwanini anafanya mambo kwa sifa? Anatoa misaada huku anawarecord maskini? Je ni mtumishi kweli au kuna mengine nyuma ya pazia?
 
Haka kamchizi niliwahi kukaona tangu mwanzo kanajiunga Insta yan post zake za kwanza kwanza kabisa kipindi hicho kamewafollow wakina Diamond, Ney wa mitego, page za udaku na ujinga ujinga mwingi uko instagram. Hapo ndipo nilishangaa nabii gani hajielewi anafollow vitu visivyoendana na mlengo wake wa kitumishi. Kipindi hicho kinavaa vijeans vya kishamba ata suti zake hazikuwa za kueleweka. Sijui kameokota wapi izo pesa za kutambia ndani ya muda mfupi tu tangu nikaone mara ya kwanza kashambashamba tu. Kama ni sadaka basi waumin wake ni vilaza wa PHD
 
Na hizi tetesi za kuwa ni kazee ka backstage ni kweli
 
Hiyo nimeiona nimeipata kupitia comments za watu kwenye picha zake
Bado umeniacha mkuu .. yaani anatumia mambo ya utamaduni akiwa backstage ama ni nini? Hata mimi simuelewi kabisa.
 
Tapeli tu kama kina Kakobe, TB Joshua, Lwakatare na wengineo..
Wataje unao waona ni wa Ukweli,
kuna watu wengi wameacha maovu kwa kuwasikiliza hao unaowataja.
Wewe umewasaidia watu wangapi waache maovu kwa mafundisho yako ya imani ya Dini yako ?
Kuwa mstaarabu, na ujue kuwa Mtakatifu ni Mungu peke yake.
Acha tabia ya kuwabeza watumishi wa Mungu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…