Property for sale

Property for sale

Kitomai

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2009
Posts
1,115
Reaction score
346
located at bagamoyo mapinga about 5 km from bagamoyo road. Plot/farm size about 54 h.a. Price tshs 1 billion. For more information call +255784225000
 

Attachments

  • DSC09080.JPG
    DSC09080.JPG
    18.5 KB · Views: 64
  • DSC09083.JPG
    DSC09083.JPG
    24.6 KB · Views: 67
  • DSC09086.JPG
    DSC09086.JPG
    34.1 KB · Views: 56
  • DSC09089.JPG
    DSC09089.JPG
    35 KB · Views: 60
  • DSC09090.JPG
    DSC09090.JPG
    15.4 KB · Views: 53
... Mkuu Kitomai, According to your Pics, are you selling a Plot or a piece of the SKY??? smile.:happy:
 
Hiyo plot ya angani imetulia sana mkuu! Hata bei yake fea tu!
 
Karibu. Nilichukua picha muda wa jioni. Mandhari yake imetulia
 
Jamaa anauza jua mwaka huu !! Duuh kazi kweli kweli mambo ya Bwaga Mioyo!
 
Kitomai 54 h.a, unamaanisha hectres (heckta) au acres(ekari)?

Hekta moja ni sawa na ekari 2.5, hivyo ndio kusema unauza acres karibu 135 kwa shilingi bilion moja. This would translate to about TZS 7.4million for an acre!
 
ideal place for sunset lovers i suppose
 
NASA kingewafaa zaidi wafike Mars kwa urahisi!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom