Propaganda za wahindi wa St. Joseph | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Propaganda za wahindi wa St. Joseph

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by stevejunior, Apr 24, 2011.

 1. s

  stevejunior New Member

  #1
  Apr 24, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hello,ijumaa radio uhuru wametangaza vyuo vya st.joseph college of engineering and technology tanzania,zambia,malawi na sierra lone vinachuzwa kutokana na ubovu wake,cha zambia kimefungwa kinaitwa st.uegene university..ki ukweli pale hakuna elimu ya juu..watu wana division four wanasoma degree.kuna walimu wana diploma wanafundisha degree cha ajab wanasema wana masters....watu weng hawavjui hvyo vyuo hakuna kusoma technology pale,mwaka jana kpnd cha mgomo taarifa za ubovu wa chuo zilipelekwa nacte lakin hakuna majibu
   
 2. Washawasha

  Washawasha JF-Expert Member

  #2
  Apr 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,701
  Likes Received: 424
  Trophy Points: 180
  asante kwa taarifa hii
   
 3. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #3
  Apr 27, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Mh. Kuna umuhimu wa kufanya utafiti wa kutosha kabla ya kuzungumzia jambo kubwa kama hili.
   
 4. Sugar wa Ukweli

  Sugar wa Ukweli JF-Expert Member

  #4
  Apr 27, 2011
  Joined: Jun 25, 2009
  Messages: 373
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nakuunga mkono,huyu anataka kusema NACTE wamelala?,au wanashirikiana na st joseph kutoa elimu duni?
   
 5. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #5
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  Ni bora aseme ili kama kweli hatua zichukuliwe. Si unajua bongo vitu fake ni rahisi kupatikana. Penye ukweli uongo ujitenga
   
 6. eliesikia

  eliesikia JF-Expert Member

  #6
  Apr 28, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 423
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  ACHENI PROPAGANDA... Tupeni source ili tujue... Walimu wanaofundisha UDSM, IFM na dit NDIO hao hao wanafundisha na kule St.Joseph pia.. Ukitaka majina HOLLA at Me nitakwambia baadhi ambao wako COET pale
   
 7. s

  sixmund6 Senior Member

  #7
  Nov 2, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  hivi jamani
  Ukigraduate pale st.joseph unaweza kupata scholarship kama havard unvsty, cambridge au vyuo vyengine nje ya nchi?
   
Loading...