Propaganda za uchawi na ushirikina

Pole sana ndugu. Tafuta sheikh mzuri akupige kisomo mambo yatakaa sawa tu.
Huwa namchukia Sana mtu anayesema hakuna uchawi, huwa nahisi yeye mwenyewe ni participant mkubwa hivyo anajaribu kuwatoa watu kwenye hiyo Imani ili kulinda Siri za kuvu za Giza wazifanyazo.
 
Wazungu wana uchawi hatari sana mkuu sema, hawaumizani kama Sisi. Kuna sehemu njombe huko wajerumani waliacha Mali ila mapaka leo hakuna kiumbe kinaweza chukua kitu. Zaidi ya wao wenyewe.
 
"Mungu hata umtegemee vipi hawezi kutenda wajibu wako.
Yeye atakachokuzuia ni hila za waovu na Shetani. Mengine yote ufanye MWENYEWE."

Mkuu hapa sijaelewa vizuri.

Mungu kamwe hawezi kufanya wajibu wako hata Kwa sababu gani.

Siku ukielewa hili utakuwa huru
 
Umejuaje mama yako wa kambo kamroga baba yako akuone kama mavi..?!

UMEJUAJE..?!!
Si nimehangaika kwa watalaam pia kanizika ihali napumua inshort nilienda kwa Mganga kwa masuala mengine kabisa ila mwishowe akapiga faraq na akiniambia Kuna uchawi ulifanyiwa ktk makabri lengo la Hawa watu usahaulike
 
Huwa namchukia Sana mtu anayesema hakuna uchawi, huwa nahisi yeye mwenyewe ni participant mkubwa hivyo anajaribu kuwatoa watu kwenye hiyo Imani ili kulinda Siri za kuvu za Giza wazifanyazo.
Kweli kabisaa, hata mtaani ukiona yule anaebisha sana kua hakuna uchawi ndie master wa mambo.
Unaweza kuta hapa tunabishana na Mchawi.
Laanatul.
 
Si nimehangaika kwa watalaam pia kanizika ihali napumua inshort nilienda kwa Mganga kwa masuala mengine kabisa ila mwishowe akapiga faraq na akiniambia Kuna uchawi ulifanyiwa ktk makabri lengo la Hawa watu usahaulike
Mkuu kama una ujasiri hapo fanya ka revenge tuu. Hawa watu sio wa kucheka nao kabisaa
 
Wazungu wana uchawi hatari sana mkuu sema, hawaumizani kama Sisi. Kuna sehemu njombe huko wajerumani waliacha Mali ila mapaka leo hakuna kiumbe kinaweza chukua kitu. Zaidi ya wao wenyewe.
Sio kwamba wana uchawi hatari sana bali ni vile ambavyo wamejikita kuutumia uchawi kwenye nini, huku kwetu tumejikita kwenye kuleteaba madhara na ndio maana tupo vizuri kwenye uchawi huo.
 
Mkuu na wewe unaroga?
 
Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asiowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
 
Naomba msaada..... Mtu anapoitwa na watu eidha anaowajua au asuowajua kuwa ni mshirikina.... Lakini hata kwa mganga hajawahi kwenda... Hajui mambo ya uchawi/ ulozi / ushirikina.... Maana yake hasa hapa ni ipi??
Factor ni nyingi mfano

1...Inawezekana ur blessed...unafanya vitu extraordinary..vilivyowashinda wao

2...Wivu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Factor ni nyingi mfano

1...Inawezekana ur blessed...unafanya vitu extraordinary..vilivyowashinda wao

2...Wivu

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
Asante Mkuu ila Sijakupata vizuri.... Uhusiano uliopo kati ya nilichoandika na Ulichosema.... Naomba Go deep kidogo🙏🏽
 
Asante Mkuu ila Sijakupata vizuri.... Uhusiano uliopo kati ya nilichoandika na Ulichosema.... Naomba Go deep kidogo[emoji1431]
Mfano
1.kufanya vitu extraordinary vilivyowashinda wengine......mfano huku kijijin Kuna Jamaa ni mkulima wa ndizi juhudi zake kila mtu anaona jamaa anamwaga fertilizer hatari .....na ukiingia shamban kwake ...ni banana forest....mazao heavyweight
Lakn hawa majirani Wana mwita jamaa ni mchawi anavuta mazao yao though (ingawa) wanaelewa Juhudi zake

Lkn pia unaweza usiwe mchawi lkn una element zake bila kujijua ....mfano chongo( kijicho)...

Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…