Hata hiyo miti wapo wasioamini kuwa inaweza kutibu na wapo matapeli ambao hudanganya watu kwa kujifanya wana dawa za mitishamba za kutibu maradhi ila ni uzushi tu, lakini pia miti hiyo hiyo hutumika kufanya uchawi na hata kutibu matatizo ya kichawi.Kama unaumwa tumbo, kichwa au mfano wa maradhi kama hayo ya kiwiliwili, ipo miti, matunda, vyakula nk. ambayo inaweza kutibu. Na wapo wataalam (waganga) wa tiba hizo!
Lln linapokuja suala la uchawi; mkuu, fungua macho... UNAPIGWA!!
Mkuu mbona kuna watu wana mafanikio sana na bado wana imani za kishirikina sana tu? kuna watu wana amini ushirikina kwenye biashara kama wahindi ila mbona wanaendelea?Wengi wameaminishwa hakuna mafanikio bila dawa,huu ni uongo mkubwa.
Wachawi wamesambaza hofu ukifanya maendeleo kijijini utarogwa,hii ni mifano michache tu
Mimi sio maskini mwenzio!Kwa mtazamo wako lakini kwa wengine, wanaenda na wanapiga bao na maisha yanawanyookea fresh tu. Thus why nakuambia kaa na imani yako sisi tukipiga bao tutakuja kuwa motivations speak kwenu.
Cha kushangaza utakua unafuata kanuni zote za motivations ila hutoboi still upo palepale.
Mababu zetu ni watu wa kuwaheshimu sana maana hata mzee wa butiama alienda kwa wazee kabla ya kupigania uhuru.
Ngoja yakukute, ndo utaelewa.Kuamini Uchawi/ushirikina ni aina nyingine ya Ukichaa!
Hii comment yako no kama inajijibu yenyewe.Mkuu mbona kuna watu wana mafanikio sana na bado wana imani za kishirikina sana tu? kuna watu wana amini ushirikina kwenye biashara kama wahindi ila mbona wanaendelea?
Afrika imani za kuamini sana uchawi hutokana na kuwepo huo uchawi ni tofauti na kwa wenzetu kama Ulaya ambako hakuna sana watu wenye kujihusisha na uchawi na hivyo hakuwezi kuwa na imani sana za kuamini ushirikina.
Sawa mimi masikini, wewe tajiri ila sijawahi ona tajiri ambae hana akili kama ww. Mimi masikini ila nina akili zangu.Mimi sio maskini mwenzio!
Unajidanganya na kunifariji tu!
Yanikute yapi..?Ngoja yakukute, ndo utaelewa.
Wazeee wa madahababu wenyewe sometimes huenda kwa vigagula ili kipewa power na mvuto
Huyu tusibishane nae zaidi mkuu maana tunampa airtime ya bure huku alafu ni pointlessNgoja yakukute, ndo utaelewa.
Wazeee wa madahababu wenyewe sometimes huenda kwa vigagula ili kipewa power na mvuto
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hii comment yako no kama inajijibu yenyewe.
Hao Wahindi unaowatolea mfano, hizo imani ni ujinga walioukuta ktk jamii zao nao wameurithi kama ulivyo.
Lkn mafanikio yao ni juhudi zao za kuchapa kazi na utundu utundu.
Hakuna anaebisha Wahindi ni wachapakazi na hawana masihara kwnye kusaka noti!
Lakini umewataja Wazungu kwamba hawana kabisa hayo mambo ya kichawi na wako mbali sana kimafanikio pengine kuliko jamii zote.
Hakuna MWENYE AKILI ANAEPIGA BAO/RAMLI na kuamini UCHAWI!Sawa mimi masikini, wewe tajiri ila sijawahi ona tajiri ambae hana akili kama ww. Mimi masikini ila nina akili zangu.
Kwaiyo mzee wetu alipoenda B/moyo kabla ya kwenda kuupigania uhuru alikua hana AKILI?Hakuna MWENYE AKILI ANAEPIGA BAO/RAMLI na kuamini UCHAWI!
Hizo ni AKILI ZA KIPUNGUANI!
Usitegemee akili za mganga...
Utachelewa sana!!
Tumieni vizuri AKILI MLIZOPEWA NA MOLA WENU MLEZI, msitegemee akili ndogo za wapiga ramli zitatue shida zenu!Huyu tusibishane nae zaidi mkuu maana tunampa airtime ya bure huku alafu ni pointless
Kwanini uige UJINGA WA WAHINDI sasa..?!Eti wahindi ni wachapa kazi.[emoji23][emoji23] hivi kuna watu wanao abudu masanamu kama wahindi? Wahindi hao hao ukifanya kazi kwao ukiiba unakutana na mapicha picha kibao.
Amsha akili yako acha fikra za 90's .
Kila mtu akae na imani yake aloo, mbona wanao wategemea manabii wa skuizi wapo na maisha yao fresh tu na ushuhuda wanatoa kila siku makanisani mwao.Tumieni vizuri AKILI MLIZOPEWA NA MOLA WENU MLEZI, msitegemee akili ndogo za wapiga ramli zitatue shida zenu!
Nyerere HAKWENDA Bagamoyo KUPIGA RAMLI acha uongo!!Kwaiyo mzee wetu alipoenda B/moyo kabla ya kwenda kuupigania uhuru alikua hana AKILI?
ENDELEA na fikra zako za kilokole hivyo hivyo.
Ipo siku yatakukuta. Na utakuja toa ushuda humu.
Kuna sehemu hapo nimesema naiga?? Wale wana imani yao na mimi nina yangu. Vitu viwili tofauti kabisaa.Kwanini uige UJINGA WA WAHINDI sasa..?!
Tafuta historia usome wewe. Ubishi wako hauna evidence kabisaa [emoji706].Nyerere HAKWENDA Bagamoyo KUPIGA RAMLI acha uongo!!
Afrika kuna black magic sababu ya nature ya mwafrika ulaya kuna White magic sababu ya nature yao.Mkuu mbona kuna watu wana mafanikio sana na bado wana imani za kishirikina sana tu? kuna watu wana amini ushirikina kwenye biashara kama wahindi ila mbona wanaendelea?
Afrika imani za kuamini sana uchawi hutokana na kuwepo huo uchawi ni tofauti na kwa wenzetu kama Ulaya ambako hakuna sana watu wenye kujihusisha na uchawi na hivyo hakuwezi kuwa na imani sana za kuamini ushirikina.