Propaganda za ccm zimetuchosha

Propaganda za ccm zimetuchosha

KUNGUNI 2010

Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
27
Reaction score
1
Jamani watanzania wenye uchungu na ichi yao wenye machungu namaisha wamechoshwa na sela na ccm.nchi imekuwa niyaahad viongoz wamekuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wanaich ambozo hazitimirik.watanzania udhaifu sasa umefika mwisho.tutahakikisha tunasimama imara iri kutetea haki yetu.inatupasa tukabiliane na hawa boko haramu 2015 hatutaki kuwaona madalakani ccm inarudisha maendeleo nyuma kwanini zanzibar ituzidi maendeleo sisihuku wamekalia uongo na utapel ninaamini kwa mabeck tulionao tutapata ushindi akiwemo lisu ambaye ni mwiba kwa ccm.wanaoniunga mkono hoja hii wachangie hapa.
 
Jamani watanzania wenye uchungu na ichi yao wenye machungu namaisha wamechoshwa na sela na ccm.nchi imekuwa niyaahad viongoz wamekuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wanaich ambozo hazitimirik.watanzania udhaifu sasa umefika mwisho.tutahakikisha tunasimama imara iri kutetea haki yetu.inatupasa tukabiliane na hawa boko haramu 20015 hatutaki kuwaona madalakani ccm inarudisha maendeleo nyuma kwanini zanzibar ituzidi maendeleo sisihuku wamekalia uongo na utapel ninaamini kwa mabeck tulionao tutapata ushindi akiwemo lisu ambaye ni mwiba kwa ccm.wanaoniunga mkono hoja hii wachangie hapa.

Mkuu, nadhani wewe ndio umechoka zaidi.

Hebu tupige hesabu muda unaosubiri kukabiliana na hao "boko haramu": 20015 - 2014 = 18,001!

Ngoja wanaokuunga mkono waje, mimi ninapita, siungi mkono hoja!
 
Jamani watanzania wenye uchungu na ichi yao wenye machungu namaisha wamechoshwa na sela na ccm.nchi imekuwa niyaahad viongoz wamekuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wanaich ambozo hazitimirik.watanzania udhaifu sasa umefika mwisho.tutahakikisha tunasimama imara iri kutetea haki yetu.inatupasa tukabiliane na hawa boko haramu 20015 hatutaki kuwaona madalakani ccm inarudisha maendeleo nyuma kwanini zanzibar ituzidi maendeleo sisihuku wamekalia uongo na utapel ninaamini kwa mabeck tulionao tutapata ushindi akiwemo lisu ambaye ni mwiba kwa ccm.wanaoniunga mkono hoja hii wachangie hapa.

naunga mkono hoja lakini una tatizo kubwa sana la uandishi
 
Msilalamike, hao ccm mliwaweka madarakani ninyi wenyewe! Tulieni mliwe vizuri!
 
Jamani watanzania wenye uchungu na ichi yao wenye machungu namaisha wamechoshwa na sela na ccm.nchi imekuwa niyaahad viongoz wamekuwa wakitoa ahadi nyingi kwa wanaich ambozo hazitimirik.watanzania udhaifu sasa umefika mwisho.tutahakikisha tunasimama imara iri kutetea haki yetu.inatupasa tukabiliane na hawa boko haramu 20015 hatutaki kuwaona madalakani ccm inarudisha maendeleo nyuma kwanini zanzibar ituzidi maendeleo sisihuku wamekalia uongo na utapel ninaamini kwa o tutapata ushindi akiwemo lisu ambaye ni mwiba kwa ccm.wanaoniunga mkono hoja hii wachangie hapa.

Polopaganda,sela,hazitimrik, madalakani . Ninavyojua watu wanakuwa na kigugumizi kwenye kuongea kumbe hata kwenye kuandika? Au hii ni division five
 
Back
Top Bottom