Propaganda: Kimahesabu tumedanganywa

mugah di matheo

JF-Expert Member
Jul 28, 2018
6,276
12,336
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa,

Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali.

Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza kuaccomodate ugeni wote huo? Hayo mahotel yapo? Hapo hatujazungumzia wageni wataotoka Sudan.

NB: Mgeni (Guest team ) hua inapewa fixed ticket less than 2.5%, je El merekh watalogwa watoe tickets more than 25% kwa wageni? Huoni itawacost? Ingekua wananjaa na maokoto c ingepigwa dar wanaokota Zaid?
 
Kwanini hua mna hangaika na mambo ya watu? let's say ni kweli au sio kweli wewe imekuathiri nini? Kigali ime host finali za Basketball Africa zaidi ya mara mbili, CHAN imefanika hapo ije kua mechi moja ambayo wageni hawafiki elf 10?
 
1. Zile ni COSTER na si mabus.
Tumedanganywa kwa Muda mrefu kuwa ni mabus kumbe fix.

2. Mwenye maamuzi ya kuuza Tiketi ni timu Mwenyeji akiamua kutokuuza yanga hawaingii uwanjani.

3. Yanga ni Bora kuliko MAMelody.

Kule wenye akili timamu ni wawili tu.
Uliona wapi timu ikakataa kuuza tickets? nipo Rwanda tickets zinauzwa ki electronic wewe upo huko Tandahimba una bwatuka tu kama chizi
 
1. Zile ni COSTER na si mabus.
Tumedanganywa kwa Muda mrefu kuwa ni mabus kumbe fix.

2. Mwenye maamuzi ya kuuza Tiketi ni timu Mwenyeji akiamua kutokuuza yanga hawaingii uwanjani.

3. Yanga ni Bora kuliko MAMelody.

Kule wenye akili timamu ni wawili tu.
Yanga wanapewa tiketi hizo ni taratibu za CAF na FIFA hakuna maamuzi ya timu hapo. Watatoa ila tu hawatazidisha kiasi kinachotakiwa.
 
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa,

Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali.

Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza kuaccomodate ugeni wote huo? Hayo mahotel yapo? Hapo hatujazungumzia wageni wataotoka Sudan.

NB: Mgeni (Guest team ) hua inapewa fixed ticket less than 2.5%, je El merekh watalogwa watoe tickets more than 25% kwa wageni? Huoni itawacost? Ingekua wananjaa na maokoto c ingepigwa dar wanaokota Zaid?
kigali ina mahoteli mengi sana na ufahamu kuwa,kunaxwageni huenda huko kila mwaka kutembelea makanisa ya roman catholic ni mengi kuzidi hayo
 
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa,

Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali.

Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza kuaccomodate ugeni wote huo? Hayo mahotel yapo? Hapo hatujazungumzia wageni wataotoka Sudan.

NB: Mgeni (Guest team ) hua inapewa fixed ticket less than 2.5%, je El merekh watalogwa watoe tickets more than 25% kwa wageni? Huoni itawacost? Ingekua wananjaa na maokoto c ingepigwa dar wanaokota Zaid?
Basi au Costa.
 
1. Zile ni COSTER na si mabus.
Tumedanganywa kwa Muda mrefu kuwa ni mabus kumbe fix.

2. Mwenye maamuzi ya kuuza Tiketi ni timu Mwenyeji akiamua kutokuuza yanga hawaingii uwanjani.

3. Yanga ni Bora kuliko MAMelody.

Kule wenye akili timamu ni wawili tu.
Huwa nakuamini Sana lakini Leo ushabiki umekufanya kipofu. FIFA/CAF Wanaamini soka ni mchezo wa watu. Huwezi kuamka asubuhi ukasema sitaki watu wewe mwenyewe haipo kasome kanuni.
Pili, Rwanda siyo typical home ground ya El Mereikh hivyo uuzaji wa ticket ni randomly na Hakuna Mtu anaonyesha Kadi ya uanachama ndo anapewa ticket. Hivyo Mtu anaweza kukata ticket kama Mtu huru kumbe shabiki wa Yanga.
 
Tunaenda na mabasi 80 yaliyojaa,

Kila basi Lina avarage ya 55 passengers ..so total kwa basi 80 n 4,400 na kila abiria aliambiwa anaandae 50k ya hotel na sio lodge, bado Kuna wale wataoenda na ndege na private cars approximately 5000 Guests in Kigali.

Je Kigali yenye yenye watu 1M inaeza kuaccomodate ugeni wote huo? Hayo mahotel yapo? Hapo hatujazungumzia wageni wataotoka Sudan.

NB: Mgeni (Guest team ) hua inapewa fixed ticket less than 2.5%, je El merekh watalogwa watoe tickets more than 25% kwa wageni? Huoni itawacost? Ingekua wananjaa na maokoto c ingepigwa dar wanaokota Zaid?
Hivi katika hali ya kawaida kabisa!! Mji wowote ule hapa duniani unaweza kweli kudhindwa kuwa accomodate watu 5000!!! Kweli?

Hivi usikute hata huko Kigali kwenyewe hujawahi kufika kama ilivyo kwa upande wangu! Ila kwa namna ulivyoandika, mtu anaweza kufikiri labda wewe ni mkazi wa Kigali kwa miaka mingi!
 
Attachments

  • 20230914_223224.jpg
    20230914_223224.jpg
    68.4 KB · Views: 1
Back
Top Bottom