Propaganda kama za CCM ndizo zilileta maafa Rwanda

Tatizo Wa-tz tunapenda sana nyoro nyoro badala ya kufanyakazi tunakalia majungu, fitina , chuki binafsi na kuhadaiwa na akina MBOWE na SLAA eti tunachangia chama, wakati pesa wanatumbukiza kwenye matmbo yao. Wewe unaona pale Mhimbili kulikuwa mgomo kweli? mgomo wa akina MNYIKA, BISIMBA, ANALILEA na ULIMBOKA? JK alivyowambia ukweli si walichanganya na akili zao .MAIGE KAWAAMBIA' CCM,MMEJAA MAJUNGU WIVU NA WAONGO'
 
Back
Top Bottom