Hakuna sehemu hata moja niliyokuwa najibu swali bali mimi ndio nimekuuliza wewe swali, na wewe huna jibu bali unakwepa kwepa, na sishangai maana kuna ma Atheist wakubwa wakubwa wanapata na vigugumizi vya kufa mtu wakiulizwa hili swali.
Nasubiria jibu mkuu kuna digital information yoyote iliyohitengeneza yenyewe bila intelligence kutumika?