Proof: Binadamu alitengenezwa na Aliens

Naposhindwaga kuelewa ni pale unaambiwa jambo ni la ni la siri lakini ajabu watu wana taarifa za hilo jambo tena mpaka zengine hadi unabaki unajiuliza hivi jambo linaendeleaje kubaki kuwa siri!!!!
Mkuu elewa jambo linalosemwa kuwa ni la siri...means information kuhusu hiyo kitu inabaki kuwa restricted....

Kwa project inayofanywa kwa siri huku idadi ya watu wengi ikibaki kutofahamu ,utaitaje sasa hapo..!!


Usikalili kuwa tunaposema siri ndo haiwezi julikana kwa watu....!!

Understand the concept mkuu...

Jambo kulifahamu flani kwake inakuwa siyo siri tena but kwa wale wasiojua chochote ndo inaendelea kuwa siri....


Sijajua wewe unataka tuiteje....
 
...ni kama wanavyosema Mungu aliumba dunia huku kukiwa na uthibitisho kwasababu hakuna aliyekuwepo siku akiumba_ila watu tunaamini tu mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
Masuala ya Mungu msingi mzima wa upatikanaji wa hizo habari ni imani maana kama ulivyosema hakuna aliyeshuhudia hayo mambo na mengine hakuna namna kabisa akawepo mwenye kushuhudia hayo mambo,ila haya mengine unaambiwa kuna watu ndio hutoa hizo siri kwa maana wanahusika katika hayo mambo.
 
Asee,Africa hakuna hizi underground bases ? kuna siku uliwahi kugusia maeneo Fulani hivi huko Africa Mashariki

Km unazozijua hebu tufahamishe hata kwa uchache Mkuu

MTC | 101|
Kwa nchi za Africa mara nyingi ni south Africa ....kuna eneo linaitwa Fort Beaufort na KYSNA AREA ,pale ndo kuna underground bases kubwa sana....wanafanya hadi mambo ya viral innoculation testing ....ni balaaa...
 
Walipo watengeneza binadam, wakatengeneza ngano humo wakaweka 85% ya genes zote za binadamu na mara tano zaidi ya walizoweka kwa binadamu inawezekana ngano ndio antena ya hao jamaa kufahamu kinachoendelea duniani!
 
Kupata elimu kidogo unataka kujifanya unajua kuliko aliekuumba?What a bunch of idiot
 
Kupata elimu kidogo unataka kujifanya unajua kuliko aliekuumba?What a bunch of idiot
Thank you, son of bitch... acha nidhamu ya uoga kushindwa kuhoji chanzo cha uhai....inaonesha ni jinsi gani umelishwa tango za maana bila kujua unachokiamini....pole sana...
 
Thank you, son of bitch... acha nidhamu ya uoga kushindwa kuhoji chanzo cha uhai....inaonesha ni jinsi gani umelishwa tango za maana bila kujua unachokiamini....pole sana...
You an idiot,is a fairly common comment to see posted in social media
 
Mwanadamu anahusika vipi hapa kwenye utengenezaji wa hivi vifaaa....??

Thus why ukimwamba mtu kuwa mashine ndo zinatengeneza hayo mambo anakataa ...sasa mwanadamu katengeneza nini hapo kama sio kusubiri kufanya kazi ya kuassemble vifaaa na kuchapa maandishi tu..

Unaweza ukachungulia hapa jinsi mashine inavyopiga kazi huku akili ya mwanadamu ikibaki nyuma inashuhudia akili elekezi inavyofanya kazi...

The Artificial Intelligence controls each and everything and soon is going to manifest and conquer human conciousness.

 

Naona ndani ya mda mfupi zimetoka simu nyingi.
How they find raw materials and organized it
 
Naona ndani ya mda mfupi zimetoka simu nyingi.
How they find raw materials and organized it
hiyo jana ....America wanataka wakubaliane juu ya matumizi ya Artificial Intelligent kwa kila kifaaa kitakachotumika ....kazi ipo...human thinking capacity inaenda kupungua kwa kasi sana...
 
hiyo jana ....America wanataka wakubaliane juu ya matumizi ya Artificial Intelligent kwa kila kifaaa kitakachotumika ....kazi ipo...human thinking capacity inaenda kupungua kwa kasi sana...

Technology ya 5G David ickle anasema ina madhara kwa afya ya binadam.
Unazungumziaje hili, mana mi naona ni hatua kubwa ki kiteknolojia
 
Historically it's known that human beings evolved from chipanzee, and Charles Darwin, cemented by by writing that evolution do occur in nature through natural selection. They went further by saying that we have evolved from common ancestor, but each organism behave the way it's today because of adaption in the environment it operates. Again science is telling us eti tumeumbwa au tumetengenezwa na aliens, so which is which? ? Kwa nini dini isiaminiwe kuhusiana na creation of man and other creatures. Coz hapa napo kuna contradiction. Then kuhusiana na maendeleo ya technology, mimi naona biblia iko wazi kuhusu hili kwamba katika nyakati za mwisho maarifa itaongezeka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…