UmojaSwitch wamekuja na promotion tatu zitazodumu kwa miezi mitano, kuanzia mwezi wa 8 hadi wa 12.
Mtu atayekua amefanya transactions nyingi kwa huo mwezi atapewa 1M kila mwezi
Kila mwezi, watu watano kutoka watumiaji wa mara ya kwanza au ambao hawajatumia ATM card zao kwa muda mrefu watapata laki 200,000 kila mmoja
Kila mwezi watu 10 watapata 100,000 kila mmoja, kila transaction moja itakuingiza kwenye droo mara moja, kadiri unavyotumia ATM card yako ndio unavoongeza nafasi yako ya kushinda.
Karibuni, tumieni kadi zenu, mtu mwenye wazo nitafurahi kusikia toka kwako.
kutakua na zawadi nyingine tofautitofauti wakati wa promosheni
wateja wetu wamekua nasi toka 2007 wakati tunaanza, hawajatuangusha, sasa tunataka kusogea karibu zaidi na wateja wetu, tunataka kama ulivyoita 'kuleta ubunifu kidogo' hii promosheni ina lengo la kuisogeza UmojaSwitch kwa wateja wake zaidi kuliko hapo nyuma.
Mahesabu, watu wa vijijini tuko nao pamoja, kwa sasa UmojaSwitch inaunganisha zaidi ya 70% ya community banks zote nchini. Lakini pia lazima nikiri, it is a challenge na si tu kwa umojaswitch bali national challenge
Watu kumi watapata 100,000 kila mmoja, Kila mwisho wa mwezi itachezwa droo ya kupata hawa watu, kila unapochukua pesa au unapotuma pesa kwa kutumia ATM zetu za Umoja unaingia kwenye hii droo, (kila transaction moja inakuingiza kwenye droo mara moja) kadiri unavyotumia ndivo unavyoongeza entries zako kwenye droo yetu na ndivyo unavyoongeza nafasi zako za kushinda
Muda mrefu ni kwa watu ambao hawajatumia ATM zao kuanzia 31st December 2011 kurudi nyuma.