ChawaWaMama
JF-Expert Member
- Jan 16, 2023
- 1,786
- 3,283
Betting, yule jamaa kala hela nyingi mno, atakubali kupigwa na nandonga mchezo unaishaNaona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.
Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani
View attachment 2692468View attachment 2692469
Hizo mbinu zote ulizompa mandonga ujue kuwa mandonga mwenyewe hanaanaitwa Umar Semata, ndie aliemchapa Golola, wala msipagawe na hilo body la Golola
View attachment 2692486
kuna utofauti mkubwa wa kujaza body kwa vyuma ama sindano na kupigana.
Hata gari likiwa kubwa sana dereva mzoefu analipiga rivazi.
Mandonga asishindane na huyu bondia kwenye nguvu, amkabili kwa speed, akili, uzoefu, n.k.
Mi nataka niletee huyo wa chini kuliq kwa promota aliyeshika mkanda. Huyo mtoto wa mama anatia huruma ndio nataka nimnyooshe.Ndugu yangu huyu sio mnyanyua vyuma tu hata mikanda anayo mingi Kwa uzoefu wa huyu jamaa naona promota wamechoka kumuona Mandonga akicheza cheza jukwaani huyu Golola uwezo wake hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga sababu nimeshashuhudia mapambano yao wakipigana na watu tofauti View attachment 2692480View attachment 2692481View attachment 2692483
Mandonga kadandia mtumbwi wa vibwengo..🤣🤣🤣🤣Naona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.
Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani
View attachment 2692468View attachment 2692469
Watu wanaangalia tu maslahi na sifa za kijingaNaona tangazo la mchezo wa ngumi, ([emoji3037])
Kati ya Karim Mandonga na Golola Moses kutoka pale Kampala Uganda, tarehe 29 mwezi huu wa July, Kwa kifupi promota anayeandaa hili pambano pamoja na Mandonga mwenyewe aliyekubali hili pambano ni kwamba hawana akili.
Golola Moses ni bondia mkubwa sana pale Uganda japo alianzia kwenye Kik boxer, hata Dulla Mbabe hawezi kumpiga Golola, wajaribu kupitia upya wasifu wa Golola.
Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani
View attachment 2692468View attachment 2692469
Hahaha......asije kufia uwanjani kama wadau wanavyoshauri 😁Mnakosea, Mandoga ushindi na kushindwa vyote ni ushindi kwake
Kwamba jamaa atapigika kwenye ardhi ya nyumbani 🤪Nokuauti itakuwa afadhali, sisi tunawaza kumpoteza mandonga
Kwani akijinoknockout round ya pili hawezi kuokoka na mpunga ukaingia tayari.Acheni kubania njaa za watu.Mandonga usipokataa pambano hili ndo unaenda kuwa mwisho wako kucheza tena jukwaani[emoji419][emoji375]
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeye wadhani hana akili, akiona cha kufia atajifisha.Tatizo mechii hii tuna hofia uhai wake [emoji3][emoji3][emoji3]hatuko tayar kumpoteza mandoga maana hatujawai kua na mpiganaji kama yeye tz [emoji23][emoji23]
Mashabiki wake ndicho tulichokuwa tunasubiri sana afie Ulingoni.