Nawashauri wakajifunze zaidi ktk jiji la Johannesburg!Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.
Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako halafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?
Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.
Wametoa namba za customer care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamridhisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)
Hawa jamaa hawajui;
1. Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2. Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3. Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4. Overtime/motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.
Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1. Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2. Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3. Dereva anayefanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
HIVI hatuna mtanzania/watanzania wazalendo ambao tunaweza watambua halafu ikifika muda wa uchaguzi tukawashinikiza wagombee nafasi nyeti ili waisukume nchi yetu? nadhani hapa mgombea binafsi anahusikaNaam. Mengine yote ni porojo. Tunachojua ni kuchi kuchi tu!
Wanatuhujumu sana.Hivi wa tz hawa wanaosimamia kampuni hili niwazalendo kweli?
lakini hivi ndio vitu vya msingi saana kwa wakazi wa Dar. sasa how come wala hatujigeuzi kudai hii haki?Kupakia abiria Mbezi Luis halafu wanashushwa Kimara terminal halafu tena abiria hao hao wanapakiwa tena kuwapeleka mjini.Au abiria wanapakiwa mjini halafu wanashushwa Kimara halafu magari hayo hayo yanawapakia abiria hao hao kuwapeleka Mbezi Luis.Hiki kitendo ni moja ya ukatili uliopitiliza na ni aibu kwa taifa.Shilingi mia nne ( 400 ) zinazokatwa kama nauli ni wizi mtupu
nasikia wameishitaki serikali kwa kutaka kuleta mwekezaji mpya.Naiangalia project ya UDART kwa jicho la tatu naona inakufa. Pamoja na support kubwa ya Serikali bado hawa jamaa (management ) wameshindwa kujiongeza kabisaa.
Imagine if were you unaondolewa washindani wako katika biashara unabaki peke yako halafu unashindwa kufanya huduma unategemea nini?
Wateja ( pamoja na mimi) wanalalamika kukaa muda mrefu vituoni lakini utawala hauna ufumbuzi.
Wametoa namba za customer care hazipokelewi kabisa(nadhani kwenye hili wanamridhisha mheshimiwa kama vile wafanyabiashara wanavyobandika siku ya TRA kuwa yeye analipa kodi while not)
Hawa jamaa hawajui;
1. Muda gani ni peak/rush hours magari yawepo barabarani
2. Madereva kuanza kazi muda tofauti tofauti kutasaidia kumaliza kazi muda tofauti
3. Hawapo systematic katika kuyaondoa magari kwenye main port zao yanaweza yakaongozana magari hadi sita yanayoelekea upande mmoja
4. Overtime/motisha nahisi kwao wanaogopa kufanya.
Nimeona nchi za wengine walioanza kufanya hizi projects kwenye miji yao mikubwa;
1. Magari yanafanya kazi masaa 24/7 ila yanapungua barabarani jinsi muda unavyozidi kuyoyoma na siku za weekends
2. Sio lazima magari yote yaanzie mwanzo kupakia abiria kunakuwa na mawasiliano kati ya head office/port na vituoni kuangalia wingi wa abiria na kutuma gari
3. Dereva anayefanya vizuri mfano kuwahi, attendance, ukarimu/costomer care anakuwa rewarded
Hiyo app inaitwaje?Yani ujerumani unajua gari linapita saa ngapi na lipo intime unacheki on app Sasa halafu hiyo app ni route za nchi nzima
Na bado tunalalamika kwa nn vidacom wameamua kumleta CEO wa kigeni. Tatizo la utanzania kwenye utawala ni ujanja ujanja kuliko weledi.Yan pamoja na kuondolewa washindani wao ambao ni daladala bado kampuni inakufa taratibu,management inabidi ijitafakari upya ili kuondoa kero zilizopo.
zipo nyingi ila natumia DB kwasababu data za usafili ni pubic property anyone can have themHiyo app inaitwaje?
HahahahahaShithole management. Yuko mhaya pale kwa menejiment ananuka mdomo kama papuchi huku kampuni inakufa. No kujiongeza. Eti wameenda mahakamani wasiletewe mpinzani. Shit