Project ya UDART imeshakufa

Kipaumbele chetu ni watanzania masikini, ndio maana tunawanunulia -400, ndotolaini, tunajenga sgr ya kwenda kwetu. Nyinyi matajiri mnaopanda mwendo ukakasi sio kipaumbele chetu, hadi muwe mashetani.
 
aletwe mbia mwingine period hizi siasa zenu hatutaki we need service and it is not frèe we are paying
Hawataki ushindani UDART wameshafungua kesi dhidi ya serikali kumleta muwekezaji mwingine
 
Nadhani lianzishwe somo entrepreneur skills kwenye mtaala kuanzia la kwanza hadi chuo. Huenda ikasaidia.
 
mkuu miradi mingi serikali inafanya kama huduma kwa wananchi hiyo ya miaka mia ya payaback period isikupe shida hata kidogo.
 
Watanzania mna manung'uniko na lawama zisizoisha as if kwenye maisha yenu binafsi mpo timilifu.

Wengi mmeshindwa manejimenti hata ya familia zenu lakini mnavyojitutumua kutoa lawama kwa wengine!!! Ovyo kabisa!!!
 
Yaani sijui hawa waendeshaji wa huu mradi hua wanafikiria kwa kutumia nini,
Anyway, RIP Dkt Didas Masaburi
 
leo umenifumbua macho..kumbe Nyerere alituletea laana
 
Taifa la wajinga mnatakiwa kuburuzwa tuu hakuna namna
 
Wakuu Mnashindwa Kutambua kwamba Miradi Mingi ya Tanzania ni WHITE_ELEPHANT PROJECTS,Lengo ni Kupiga DEAL tu na sio kumsaidia mtanzania,ndio maana umeona watu wameenda kujenga kwenye BWAWA la maji Jangwani they dont care ili mradi washapiga 50% nyie mtajijua....Miradi Mingi ya Maji hela imetoka yote 100% lakini hakuna hata tone la maji yanayotoka,Hii ndio Tanzania...Hiyo UDART/UDA /KISENA/RIZMOKO yote wizi mtupu.

Bongo hakuna customer's care bali ni Customer's KERO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…