Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua wengi wamenishauri PHP au Dream weaver na nitumie MY SQL.
PhP/Dreamweaver nimeisha install naomba kujua utumiaji wake japo kua html language ninajua pia naomba kujua utumiaji wa my SQL na umuhimu wake hasa kuhusu database.
asanteni
Unazid kuharib, Array ni nin..?nawashukuru wakuu / nipo vizuri kuhusu html /javascript/CSS/Array
nilikua nakusudia Adobe dreamweave C6 na idea kidogo kususu php,,,
nipeni ushauri
Mbona unaongea vitu ambavyo avi releate aisee, DW ni editor na sio language, PHP ni language. Ingia youtube utafute kitu unachotaka kujifunza uwaze kufwatilie. Start small, hiyo project uwez fanya kwa maelezo yako. Project sio kitu kirahisi kama uwez kutofautisha editor na languageMkuu Roby ndio nipo Masomoni nataka kufanya website ndogo kama project / Array ni function ya store variable /value .....na hizo DW na PHP Ni program language...
Kama ndio mmekwama basi nitaishia hapa na post hii.
Thanks
upo mwaka wa ngapi mwana, na chuo gani hicho?
Dreamweaver sio programming language, hiyo ni programming environment ambayo kwa kiasi fulani ni graphical user interface (GUI) ndio maana wadau wengi wanapenda itumia hasa kwa html coding, kama unavyotumia notepad kwenye html ndivyo hivyo hivyo utakavyoitumia dreamweaver, tofauti ni kwamba dreamweaver ni GUI.
Pia unavyocode sql na php hakuna tofauti kubwa ya kutumia dreamweaver na noepad, sababu picha halisi ya kazi yako utaaipata baada ya kuirun kwenye server, sema tu n dreamweaver syntax zote zipo pre installed, hivyo kukupunguzia muda kwenye kutype, yan ukianza kutype tu options za syntax zako zitajileta zenyewe na kama una kosa umelifaya kimaandishi (grammar) itakutonya mapema.
Unanikumbusha nilivyoangaka kuwasha LED kwa PLC miezi na miezi huku vifaa vyote vinavyoitakija ninavyo. Tafuta mtu akupige blah bla siku tatu tu zitakupa mwanga wa nini cha kufanya. Wenzako tuliangaika sana nzi hizo internet gharama, yani kufundishwa kuinstall phpMyAdmin nilimlipa jamaa 25k dakika 5tu kamaliza nikasepa zangu.
Maadam umekubali hujui na unataka kujua, anzia hapa:Null Pointer / divisible nawashukuru kwa ushauri wenu....haina shida acha nianze na hivyo then tutaonana after six month.
All the best
Samahan , ila kwa jinsi ulivyojieleza tu , Imeonyesha ni jinsi gan uko shalow ,
Ningekushauri kwa sasa weka idea pemben , then start learning everything kama HTML , CSS , Javascript , then baadae ndo uanze kusoma server side languages kama PHP na MYSQL & ways to use to interact hizo technology , , na kwa kifupi tu hakuna language inaitwa Dream Weaver instead ni IDE ( Integrated Development Environment ) .
Dreamweaver .. au sijakuelwa unamaanisha nin .. ?Dream Weaver mmmh .......unasoma chuo gani mkuuu labda niufundishaj tu
ushaferi project kwanza hakuna language inayoitwa dreamweaver pili inaonekana ulikuwa ukai darasani tatu tumia php+html na mysql db(database)Wakuu natumaini salama / Amani ya mola iwe nanyi.
naomba msaada nataka kutengeneza project ya chuo webiste ya kuuza mambo ya sport.
naomba kujua program language itakayo kua easy kuitumia japo kua wengi wamenishauri PHP au Dream weaver na nitumie MY SQL.
PhP/Dreamweaver nimeisha install naomba kujua utumiaji wake japo kua html language ninajua pia naomba kujua utumiaji wa my SQL na umuhimu wake hasa kuhusu database.
asanteni