Khaa!! Mwanzo ndiyo unakuja JF? Nilitegemea uje hapa uombe ushauri wa kutatua changamoto zinazokukabili kwenye utekelezaj?. Majirani zetu siku hizi wala hawafanyi utafiti tena. Wanakuja kwetu wanachukua zile tafiti tulizozifungia makabatini wanarekebisha kidogo ziendana na mazingira yao wanazifanyia kazi bila gharama kubwa, na hii ndiyo maana kasi ya uchumi wao ni ya kupaa wakati sisi tunaendelea kushabikia waendesha bodaboda na kina mamalishe kama ndiyo ajira kuu hapa kwetu :glasses-nerdy:ndo mwanzo
Khaa!! Mwanzo ndiyo unakuja JF? Nilitegemea uje hapa uombe ushauri wa kutatua changamoto zinazokukabili kwenye utekelezaj?. Majirani zetu siku hizi wala hawafanyi utafiti tena. Wanakuja kwetu wanachukua zile tafiti tulizozifungia makabatini wanarekebisha kidogo ziendana na mazingira yao wanazifanyia kazi bila gharama kubwa, na hii ndiyo maana kasi ya uchumi wao ni ya kupaa wakati sisi tunaendelea kushabikia waendesha bodaboda na kina mamalishe kama ndiyo ajira kuu hapa kwetu :glasses-nerdy:
:glasses-nerdy:
...vinginevyo usijeshangaa jirani yako hapo unapokaa, ambaye pia ni member wa jf sasa hivi baada ya kusoma wazo lako ameanza kushughulika na sasa amepanda miti 7 tayari...Idea yako ni nzuri mkuu. Ila kama ulivyoshauriwa hapo juu.. Inaitaji immediate implementation.